Jimbi
JF-Expert Member
- Aug 16, 2010
- 4,444
- 4,967
Acha mzaha dogo, milioni 178 kwa kikokotoo kipi? Watumishi wa Umma mnapenda kudanganya sana, kwanini?Nitacheza na Wajukuu zangu tu, suala la kuambiwa ada za watoto ni milioni 7 Kwa Mwaka wakati huo unakuta mtoto yupo darasa la 4 na muda huo pension yangu ya Mkupuo ni milioni 178 sio poa kabisa 😜🙌