Ambao wameoa mwanamke daktari naomba kujua raha na karaha

Habari za muda huu, kama kichwa cha habari kinavyoeleza, naomba kujua changamoto za kuoa mwanamke ambaye ni daktari kabla sijachukua maamuzi, daktari nikimaanisha Medical Doctor (MD).

Karibuni
Hili swali umeuliza kanakwamba kuna formula ya mapenzi!

Atakayekushauri itatokana na uzoefu wake ambao hauna kanuni wala vigezo unavyovipenda wewe.

Ma MD wawili ukiwaweka pamoja hawawezi kupimika katika mzani mmoja kitabia, haiba na wala kimaadili.

Kwanini usichukue maamuzi kwa vigezo vyako bhana?

Mbwa akipigiwa miluzi mingi kutoka maeneo mbalimbali kwa wakati mmoja huchanganyikiwa asijue pa kuelekea.
 
sorry naomba uni-dadavulie hii sentence ndugu yangu, please
 
Vipi aliolewa?
Kama ndio hampashagi viporo?
 
Same tu me ....Yan wanajiona ka Wana ka Dunia kao flan iv...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…