Acha mzaha dogo, milioni 178 kwa kikokotoo kipi? Watumishi wa Umma mnapenda kudanganya sana, kwanini?Nitacheza na Wajukuu zangu tu, suala la kuambiwa ada za watoto ni milioni 7 Kwa Mwaka wakati huo unakuta mtoto yupo darasa la 4 na muda huo pension yangu ya Mkupuo ni milioni 178 sio poa kabisa ππ
Watu wengi mnachanganya pahala pa kuandika profession mnaandika professionalWewe oa tu professional haihusiani na tabia za mtu ila hakikisha your earnings are greater than or equal To yeye
Keyboard tu boss ila si umeelewaWatu wengi mnachanganya pahala pa kuandika profession mnaandika professional
Wewe mtu mkubwa sana duniani ujue Dokta J.S πKeyboard tu boss ila si umeelewa
Mzaramo awe MD!? Hao kazi yao kubwa sana ualimu na hapo ubahatishe kwa mmoja mmojaAtakuwa mzaramo
Kuna muda nakua mchungaji na kuna muda ni fundi garageWewe mtu mkubwa sana duniani ujue Dokta J.S π
Sisi Wakulima hatutegemei Kikokotoo Mkuu, hapa nilipo nina ekari za kutosha za miti ambayo nikivuna sikosi milioni 200 zanguAcha mzaha dogo, milioni 178 kwa kikokotoo kipi? Watumishi wa Umma mnapenda kudanganya sana, kwanini?
ππππππ€£π€£π€£π€£π€£π€£ Umeniumiza mbavu mpuuziKuna muda nakua mchungaji na kuna muda ni fundi garage
Kunae mmoja alipata mil. 300 watu wanajiropokea tuSisi Wakulima hatutegemei Kikokotoo Mkuu, hapa nilipo nina ekari za kutosha za miti ambayo nikivuna sikosi milioni 200 zangu
Hata hivyo sio watumishi wote wa Umma hawapati hicho kiinua mgongo cha million 178, wapo wanaopata
Kama ulikuwepo vile, fani za watu wenye akili darasani mfano udaktari, uinjinia, au kombi za PCM na PCB, utakuta ni mikoa ya Kanda ya ziwa (kasoro wahaya, wao ni masomo ya arts), wazaramu na watu wa Tanga, Lindi na Mtwara, wakitoboa sana labda form four, tena hapo watapata division four au ziro kabisa.Mzaramo awe MD!? Hao kazi yao kubwa sana ualimu na hapo ubahatishe kwa mmoja mmoja
Wanawake wa Pwani wao kusoma ni kumkufuru Allah lakin kugawa uroda kwa watu ni sunnah
Mfanyakazi wa tanesco ana shida gani?Jiandae kugomgewa na wafanyakazi wenzake,wagonjwa wanaoenda kupata huduma sehemu husika na ujue kazi yake itatumika kama excuse atakapokua anachapwa,maana atakwambia NILIKUA NA MGONJWA,NAENDA SHIFT,na michepuko yake itampigia simu muda wowote na kumwambia kuna dharura hospitalini,njoo haraka kumbe anaenda kudinywa.
Namuonea huruma sana mtu anayeoa askari,mfanyakazi wa tanesco,kiwandani na kwenye makampuni.Atachapiwa hadi basi,inshort hatafaidi mapenzi.