Kama ulikuwepo vile, fani za watu wenye akili darasani mfano udaktari, uinjinia, au kombi za PCM na PCB, utakuta ni mikoa ya Kanda ya ziwa (kasoro wahaya, wao ni masomo ya arts), wazaramu na watu wa Tanga, Lindi na Mtwara, wakitoboa sana labda form four, tena hapo watapata division four au ziro kabisa.