Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Kwahiyo kwa kifupi, kila mtu ashinde mechi zake.Ni kwa sababu tu watu wasio maarufu wakipata matatizo hutajua. Unaweza kupata matatizo wewe na huyo Uwoya akaishi mpaka 90s akafa kiulaini kwa uzee. Acha mawazo ya kipuuzi.