Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
... 'Kwahiyo mdundo wa taifa mimi honestly naonaga haiwezekani'...huu mkanganyiko ni wa kwako mwandishi au ni wa AY?Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, AY, ameeleza mtazamo wake kuhusu mjadala wa “mdundo wa taifa” katika mahojiano na kituo cha redio cha East Africa Radio, akisisitiza kuwa muziki hauwezi kulazimishwa kuwa na mwelekeo mmoja bali hujijenga na kukua kiasili.
AY amesema kuwa mdundo wa taifa hauwezi kutengenezwa kwa kukaa na kupanga, bali hujitokeza wenyewe kadri muziki unavyoendelea kukua na kubadilika. Ameeleza kuwa hata katika nchi nyingine, mitindo ya muziki hujitofautisha bila kulazimishwa, akitolea mfano jinsi muziki wa Bongo Fleva unavyotambulika kirahisi unapopigwa nje ya Tanzania.
"Sisi wote tukae hapa tutengeneze mdundo wa taifa? No, vitu vina-elevate vyenyewe, vinajipika mpaka vinafika."
"Ukienda Kenya, ikipigwa unajua hii ni Bongo Fleva, huu ni muziki wa Kenya... kwahiyo ina-blend hivyo."
"Kilichoniuma ni kwamba tunaacha hivi vitu vyetu vya Bongo Fleva, tunaanza kukimbilia kwenye haya manini... huwezi, labda nitoe mfano mmoja wa kucheza drafu; mimi nikikaa nje naona zaidi kuliko wewe unayecheza."
"Sisi kwa sababu Bongo tuko hivi hivi, ‘ah nyie si mnaiga wapi sijui nini’, ukienda nje ndio unajua tofauti ya Bongo Fleva na muziki mwingine."
"Hata ukiangalia albamu ya kwanza ya kina P-Square, walikuwa wanaiga iga, halafu kukaja wakati wakawa wanaiba nyimbo za Congo kidogo hivi, wakaja kwa Nigeria... lakini sasa hivi si wamekaa tayari kinigeria kabisa? Kwahiyo mdundo wa taifa mimi honestly naonaga haiwezekani."
Tz music imeshakwua diluted mno, there is no mdundo wa taifa it too late for that... 'Kwahiyo mdundo wa taifa mimi honestly naonaga haiwezekani'...huu mkanganyiko ni wabowako mwandishi au ni wa AY?
Hahaha njia pekee ya kuliona draft sio kukaa nje bro ni kucheza peke yako kwa hio ukijifunga unajua umejifungaje, hio ndio draft ilivyo kuna Mzee alinikuta nafanya hivyo hakuwahi kunielewa draft ili ulione vizuri inabidi ulicheze na kulichezea nje unaweza ukaona ila huwezi kuona kila kitu ingia uchezelabda nitoe mfano mmoja wa kucheza drafu; mimi nikikaa nje naona zaidi kuliko wewe unayecheza.
Genre recognition mfano Singeli na ndio ilipendekezwa ila mmhMdundo wa Taifa unasndia nini ? Kwa sasa hatuna huo mdundo wa Taifa tumekosa nini? Naomba kueleweshwa
Kuna babu anarudia nyimbo wa kongwe, iyo ndo midundo ya taifa, babu anajua aisee , amepiga usia wa wazizi wangu ni balaaMsanii wa muziki wa Bongo Fleva, Ambwene Yesaya (A.Y), ameeleza mtazamo wake kuhusu mjadala wa “mdundo wa taifa” katika mahojiano na kituo cha redio cha East Africa Radio, Aprili 10, 2026 akisisitiza kuwa muziki hauwezi kulazimishwa kuwa na mwelekeo mmoja bali hujijenga na kukua kiasili.
AY amesema kuwa mdundo wa taifa hauwezi kutengenezwa kwa kukaa na kupanga, bali hujitokeza wenyewe kadri muziki unavyoendelea kukua na kubadilika. Ameeleza kuwa hata katika nchi nyingine, mitindo ya muziki hujitofautisha bila kulazimishwa, akitolea mfano jinsi muziki wa Bongo Fleva unavyotambulika kirahisi unapopigwa nje ya Tanzania.
"Sisi wote tukae hapa tutengeneze mdundo wa taifa? No, vitu vina-elevate vyenyewe, vinajipika mpaka vinafika."
"Ukienda Kenya, ikipigwa unajua hii ni Bongo Fleva, huu ni muziki wa Kenya... kwahiyo ina-blend hivyo."
"Kilichoniuma ni kwamba tunaacha hivi vitu vyetu vya Bongo Fleva, tunaanza kukimbilia kwenye haya manini... huwezi, labda nitoe mfano mmoja wa kucheza drafu; mimi nikikaa nje naona zaidi kuliko wewe unayecheza."
"Sisi kwa sababu Bongo tuko hivi hivi, ‘ah nyie si mnaiga wapi sijui nini’, ukienda nje ndio unajua tofauti ya Bongo Fleva na muziki mwingine."
"Hata ukiangalia albamu ya kwanza ya kina P-Square, walikuwa wanaiga iga, halafu kukaja wakati wakawa wanaiba nyimbo za Congo kidogo hivi, wakaja kwa Nigeria... lakini sasa hivi si wamekaa tayari kinigeria kabisa? Kwahiyo mdundo wa taifa mimi honestly naonaga haiwezekani."
Niliandika makala miaka kama 14 iliyopita kusema hizi habari za vazi la taifa, wimbo wa taifa ni ujinga tuMsanii wa muziki wa Bongo Fleva, Ambwene Yesaya (A.Y), ameeleza mtazamo wake kuhusu mjadala wa “mdundo wa taifa” katika mahojiano na kituo cha redio cha East Africa Radio, Aprili 10, 2026 akisisitiza kuwa muziki hauwezi kulazimishwa kuwa na mwelekeo mmoja bali hujijenga na kukua kiasili.
AY amesema kuwa mdundo wa taifa hauwezi kutengenezwa kwa kukaa na kupanga, bali hujitokeza wenyewe kadri muziki unavyoendelea kukua na kubadilika. Ameeleza kuwa hata katika nchi nyingine, mitindo ya muziki hujitofautisha bila kulazimishwa, akitolea mfano jinsi muziki wa Bongo Fleva unavyotambulika kirahisi unapopigwa nje ya Tanzania.
"Sisi wote tukae hapa tutengeneze mdundo wa taifa? No, vitu vina-elevate vyenyewe, vinajipika mpaka vinafika."
"Ukienda Kenya, ikipigwa unajua hii ni Bongo Fleva, huu ni muziki wa Kenya... kwahiyo ina-blend hivyo."
"Kilichoniuma ni kwamba tunaacha hivi vitu vyetu vya Bongo Fleva, tunaanza kukimbilia kwenye haya manini... huwezi, labda nitoe mfano mmoja wa kucheza drafu; mimi nikikaa nje naona zaidi kuliko wewe unayecheza."
"Sisi kwa sababu Bongo tuko hivi hivi, ‘ah nyie si mnaiga wapi sijui nini’, ukienda nje ndio unajua tofauti ya Bongo Fleva na muziki mwingine."
"Hata ukiangalia albamu ya kwanza ya kina P-Square, walikuwa wanaiga iga, halafu kukaja wakati wakawa wanaiba nyimbo za Congo kidogo hivi, wakaja kwa Nigeria... lakini sasa hivi si wamekaa tayari kinigeria kabisa? Kwahiyo mdundo wa taifa mimi honestly naonaga haiwezekani."
ndiyo limepatikana.. Ni vazi lolote tu ili mradi usiwe uchi au nusu uchi, funika tu "kiwiliwili"Vazi la Taifa limepatikana?
Singeli ikiondolewa matusi na uchezaji wa kifirauni itafika mbaliSingeli,mchiriku,mnanda,mixer taarabu kwa mbali tungezimodifai hizi mapema sasa hivi tungekuwa na mdundo mkali sana unaotambulika duniani