Amchinja Mke wake mwenye ujauzito na kumpika mtoto wake

Amchinja Mke wake mwenye ujauzito na kumpika mtoto wake

Matukio ya kutisha hayataisha mpaka siku sheria ya kunyongwa isimamiwe ipasavyo
 
Watu wa kwenye ndoa hao , ndoa ,ndoa ndoa tatzo kubwa.
 
Hali ni ngumu sana aseeee 😄
Ndoa na mambo yake yanaleta tatzo la akili , ili tu either uue ,ujiue , ufungwe ikishindikana kabisa mpeana talaka na mwanaume aambue manyoya ,mwisho kabisa afe na stress.
 
Jeshi la Polisi mkoani Tabora linamshikilia Hamis Kulwa (35), mkazi wa Kata ya Uyogo wilayani Urambo kwa tuhuma za kumchinja mke wake mjamzito, kumpasua tumbo kisha kutoa watoto pacha.

Akizungumza Kamanda wa Polisi mkoani humo, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Richard Abwao amesema tukio hilo limefanyika Januari 30 mwaka huu saa 11 jioni likihusishwa na imani za kishirikina.

Kamanda Abwa amesema baada ya mtuhumiwa kumpasua mke wake, alitoa watoto pacha kisha kumpika mmoja huku mwingine pamoja na mwanaye mwingine aliyekuwa na miaka miwili, akiwazika.

“Wakati wa mahojiano alidai kuwa aliambiwa kuna watu wametumwa kumchukua mkewe na watoto, wanawapeleka Gambushi [eneo lililoko mkoani Simiyu linaloamika kwa nguvu za giza] kufanya kazi za kichawi usiku na siku si nyingi wangewachukua na kuwaua, ndio maana akaamua awaue yeye mwenyewe,” amesema Kamanda.

Source - SwahiliTimes
Ninamuomba Mungu wa Mbinguni atusamehe.dhambi hizi tunazoziimarisha kila kukicha.

Mungu awapokee malaika wake waliokatishwa maisha yao kikatili pasina sababu. Mungu tunakuomba umpe pumziko jema marehemu mama uliyempa jukumu la kuwaleta hao mapacha duniani.

Muuaji asamehewe dhambi zake. Apokee kinachostahili kwenye sheria za ardhi yetu.
 
Tafiti zinaonyesha kwenye watu kumi mmoja ni kichaa Pia tafiti zinasema Kila mtu ni kichaa ila tunatofautiana viwango
 
Jeshi la Polisi mkoani Tabora linamshikilia Hamis Kulwa (35), mkazi wa Kata ya Uyogo wilayani Urambo kwa tuhuma za kumchinja mke wake mjamzito, kumpasua tumbo kisha kutoa watoto pacha.

Akizungumza Kamanda wa Polisi mkoani humo, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Richard Abwao amesema tukio hilo limefanyika Januari 30 mwaka huu saa 11 jioni likihusishwa na imani za kishirikina.

Kamanda Abwa amesema baada ya mtuhumiwa kumpasua mke wake, alitoa watoto pacha kisha kumpika mmoja huku mwingine pamoja na mwanaye mwingine aliyekuwa na miaka miwili, akiwazika.

“Wakati wa mahojiano alidai kuwa aliambiwa kuna watu wametumwa kumchukua mkewe na watoto, wanawapeleka Gambushi [eneo lililoko mkoani Simiyu linaloamika kwa nguvu za giza] kufanya kazi za kichawi usiku na siku si nyingi wangewachukua na kuwaua, ndio maana akaamua awaue yeye mwenyewe,” amesema Kamanda.

Source - SwahiliTimes
Hapa ndipo nikirudi kwenye suala dini na imani naona kama ni porojo tu. Hebu tujiulize kidogo hivi mtu kana huyu kipimo cha dhambi yake ni sawasawa kipimo cha mtu aliyefanya "dhambi" ya uongo, ulevi au ulafi? Maana tunaambiwa kwa Mungu hakuna dhambi kubwa na ndogo hakuna kosa kubwa wala dogo je mnataka kuniambia huko kwa Mungu kosa la huyu ni sawasawa na kosa la mlevi na wote hao adhabu yao ni moja? Kama ni kweli basi huyu mtoa adhabu kuna mahala hayupo sawa
 
Pia wanawake kuweni makini, yaani kabla ya tukio baya kwakuwa mtu unaishi nae ni lazima unamjua in and out Kuna viashiria utavijua tu siku chache kabla au masaa machache kabla. Unaweza kuchukua tahadhari.
 
Atiwe dole gumba la mguu kwe ye tigo yake kama kuona kama atashtuka au ataona kawaida.
Baada ya hapo hatua nyingine zifuate.
 
Ndoa na mambo yake yanaleta tatzo la akili , ili tu either uue ,ujiue , ufungwe ikishindikana kabisa mpeana talaka na mwanaume aambue manyoya ,mwisho kabisa afe na stress.
Sasa kwa Hali hii tufanyaje ushauri wako
 
Kama umeoa yakikufika shingoni bora ushirikishe watu unao waamni kuliko kupambana na tatzo peke yako.
Mimi ni mmoja ya watu ambao siwezi shirikisha mtu jambo nalopitia isipokua naingia church nakusali Mungu pekee aniepushe katka fikra mbofu mbofu niliachatu maana maji yalifika shingoni mwisho nikaona ntakuja kuua bure iishie jera
 
Back
Top Bottom