Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbn walia
Ila kwel kibongo bongo ukishirikisha watu ni kama umejimaliza kabisa kisaikolojia, ninae ndugu yangu anapitia changamoto za hizi ndoa , yule jamaa asipo kuwa makini tunamlia pilau soon.Mimi ni mmoja ya watu ambao siwezi shirikisha mtu jambo nalopitia isipokua naingia church nakusali Mungu pekee aniepushe katka fikra mbofu mbofu niliachatu maana maji yalifika shingoni mwisho nikaona ntakuja kuua bure iishie jera
Watu wa aina hii ndiyo wanasababisha CCM kuendelea kututawala miaka nenda. No brain at all.Jeshi la Polisi mkoani Tabora linamshikilia Hamis Kulwa (35), mkazi wa Kata ya Uyogo wilayani Urambo kwa tuhuma za kumchinja mke wake mjamzito, kumpasua tumbo kisha kutoa watoto pacha.
Akizungumza Kamanda wa Polisi mkoani humo, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Richard Abwao amesema tukio hilo limefanyika Januari 30 mwaka huu saa 11 jioni likihusishwa na imani za kishirikina.
Kamanda Abwa amesema baada ya mtuhumiwa kumpasua mke wake, alitoa watoto pacha kisha kumpika mmoja huku mwingine pamoja na mwanaye mwingine aliyekuwa na miaka miwili, akiwazika.
“Wakati wa mahojiano alidai kuwa aliambiwa kuna watu wametumwa kumchukua mkewe na watoto, wanawapeleka Gambushi [eneo lililoko mkoani Simiyu linaloamika kwa nguvu za giza] kufanya kazi za kichawi usiku na siku si nyingi wangewachukua na kuwaua, ndio maana akaamua awaue yeye mwenyewe,” amesema Kamanda.
Source - SwahiliTimes
Mapatie ushauri wa bure chiefIla kwel kibongo bongo ukishirikisha watu ni kama umejimaliza kabisa kisaikolojia, ninae ndugu yangu anapitia changamoto za hizi ndoa , yule jamaa asipo kuwa makini tunamlia pilau soon.
Sio rahisi ushauri ufanye kazi kwenye mapenzi mkuuMapatie ushauri wa bure chief
Mpe Ivo ivoSio rahisi ushauri ufanye kazi kwenye mapenzi mkuu
Mapacha utawaweza shoga??ulishawai kukaa mwaka mzima hulali ?? Hata hujui unaishi vipi .Muombe Mungu akupe unachostahili mweeEeeeh Mungu wangu ninavyotamani mapacha nimehisi kulia!
Hata hivyo magonjwa ya akili ni tishio, tuache fikra za ushirikina pekee.
Itasaidia nini sasa kwa unyama huuDuh aiseee haina haja ya kumcheleweshea kitanzi
Tunaposema Magharibi na Kanda ya ziwa watu wake ni 'primitive' au bado hawajastaarabika muwe mnatuelewa.
Huu ukanda una watu wa hovyo sijawahi kuona.
Huyu amerukwa na akili au ni kichaa aliyerukwa na akili, sababu wenye tupu huwa hawapo hivi.Jeshi la Polisi mkoani Tabora linamshikilia Hamis Kulwa (35), mkazi wa Kata ya Uyogo wilayani Urambo kwa tuhuma za kumchinja mke wake mjamzito, kumpasua tumbo kisha kutoa watoto pacha.
Akizungumza Kamanda wa Polisi mkoani humo, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Richard Abwao amesema tukio hilo limefanyika Januari 30 mwaka huu saa 11 jioni likihusishwa na imani za kishirikina.
Kamanda Abwa amesema baada ya mtuhumiwa kumpasua mke wake, alitoa watoto pacha kisha kumpika mmoja huku mwingine pamoja na mwanaye mwingine aliyekuwa na miaka miwili, akiwazika.
“Wakati wa mahojiano alidai kuwa aliambiwa kuna watu wametumwa kumchukua mkewe na watoto, wanawapeleka Gambushi [eneo lililoko mkoani Simiyu linaloamika kwa nguvu za giza] kufanya kazi za kichawi usiku na siku si nyingi wangewachukua na kuwaua, ndio maana akaamua awaue yeye mwenyewe,” amesema Kamanda.
Source - SwahiliTimes
bora wenzetu wa pwani.
watu wa bara tuna mambo ya kifala sana. kuua tunaona ni kitu cha kawaida kawaisa
Mkuu watu wanahubiri yesu wanaenda kuwaambia watu wasile na waanawazika misituni kwa kufa na njaa.
Taratibu bro! Acha kuhukumu watu wote,kwa, kosa, LA mtu mmoja,Tunaposema Magharibi na Kanda ya ziwa watu wake ni 'primitive' au bado hawajastaarabika muwe mnatuelewa.
Huu ukanda una watu wa hovyo sijawahi kuona.
Watu kama hawa wala hakukuwa na haja ya kuhangaika nao sijui kupima akili, huyu wa kufukia akiwa hai watu waendelee na majukumu mengine muhimu.