Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Evidence kidogoHivi vitu vinaanziaga kwenye vibanda vya muvi. Tuzingatia PG
😁😁 we jua tu ni ndoa hiyoSijasoma palipondikwa walikuwa na matatizo ya kindoa, mhusika hata angekuwa bachelor anaishi na ndugu yawezekana angewafanya hivi hivi sababu inaonekana anasumbuliwa na “Sauti” sijui kitaalamu changamoto yake ya afya ya akili inaitwaje.
Huyo aunganishwe na mganga wake kwenye hiyo caseAkizungumza Kamanda wa Polisi mkoani humo, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Richard Abwao amesema tukio hilo limefanyika Januari 30 mwaka huu saa 11 jioni likihusishwa na imani za kishirikina.
Kamanda Abwa amesema baada ya mtuhumiwa kumpasua mke wake, alitoa watoto pacha kisha kumpika mmoja huku mwingine pamoja na mwanaye mwingine aliyekuwa na miaka miwili, akiwazika.