Amchinja Mke wake mwenye ujauzito na kumpika mtoto wake

Amchinja Mke wake mwenye ujauzito na kumpika mtoto wake

Pia wanawake kuweni makini, yaani kabla ya tukio baya kwakuwa mtu unaishi nae ni lazima unamjua in and out Kuna viashiria utavijua tu siku chache kabla au masaa machache kabla. Unaweza kuchukua tahadhari.


Kweli lakini kuna maradhi ya akili mengine huwa yanalipuka ndani ya masaa kadhaa na mengi yanahitaji ufahamu kuweza kuyatambua angalau dalilli zake.

Ila pia victims wengi hujikuta ndani ya 18 mbaya kwa kujitakia (kudharau ama kupuuzia dalili mbaya na kujipa moyo yatapita!)


Jamii inahitaji elimu ya muongozo wa maisha ya kila siku kwa sababu kasi ya mabadiliko inayoikumba jamii ni kubwa sana. Many will be lost in the “transition.
 
Kabisa!

Muongo huyu huwezi kuua kirahisi hivyo...aeleze vizuri mchawi Ni yeye mwenyewe..
 
Jeshi la Polisi mkoani Tabora linamshikilia Hamis Kulwa (35), mkazi wa Kata ya Uyogo wilayani Urambo kwa tuhuma za kumchinja mke wake mjamzito, kumpasua tumbo kisha kutoa watoto pacha.

Akizungumza Kamanda wa Polisi mkoani humo, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Richard Abwao amesema tukio hilo limefanyika Januari 30 mwaka huu saa 11 jioni likihusishwa na imani za kishirikina.

Kamanda Abwa amesema baada ya mtuhumiwa kumpasua mke wake, alitoa watoto pacha kisha kumpika mmoja huku mwingine pamoja na mwanaye mwingine aliyekuwa na miaka miwili, akiwazika.

“Wakati wa mahojiano alidai kuwa aliambiwa kuna watu wametumwa kumchukua mkewe na watoto, wanawapeleka Gambushi [eneo lililoko mkoani Simiyu linaloamika kwa nguvu za giza] kufanya kazi za kichawi usiku na siku si nyingi wangewachukua na kuwaua, ndio maana akaamua awaue yeye mwenyewe,” amesema Kamanda.

Source - SwahiliTimes
Hivi mkoa wa Tabora upo kanda ipi??? Kanda ya ziwa? Au kanda ya kati? Au kanda ya Magharibi?
 
Watu wa kwenye ndoa hao , ndoa ,ndoa ndoa tatzo kubwa.
Sijasoma palipondikwa walikuwa na matatizo ya kindoa, mhusika hata angekuwa bachelor anaishi na ndugu yawezekana angewafanya hivi hivi sababu inaonekana anasumbuliwa na “Sauti” sijui kitaalamu changamoto yake ya afya ya akili inaitwaje.
 
Back
Top Bottom