Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Mrembo wahi kawe kwa Mwamposa kila siku wenzio wamapata mapacha kule. Nje ya mada pia.Eeeeh Mungu wangu ninavyotamani mapacha nimehisi kulia!
Hata hivyo magonjwa ya akili ni tishio, tuache fikra za ushirikina pekee.
Hali ni ngumu sana aseeee 😄Watu wa kwenye ndoa hao , ndoa ,ndoa ndoa tatzo kubwa.
Unaonaje na wewe ukawahi fursa hiyo mrembo mwenzangu?Mrembo wahi kawe kwa Mwamposa kila siku wenzio wamapata mapacha kule. Nje ya mada pia.
Ndoa na mambo yake yanaleta tatzo la akili , ili tu either uue ,ujiue , ufungwe ikishindikana kabisa mpeana talaka na mwanaume aambue manyoya ,mwisho kabisa afe na stress.Hali ni ngumu sana aseeee 😄
We shem😊Unaonaje na wewe ukawahi fursa hiyo mrembo mwenzangu?
Maana mpaka kujua haya unaonekana kuwa na uhitaji kuliko mimi.
Wananichokozaga wenyewe Shem, mi mpole sana. ☺️We shem😊
Ninamuomba Mungu wa Mbinguni atusamehe.dhambi hizi tunazoziimarisha kila kukicha.Jeshi la Polisi mkoani Tabora linamshikilia Hamis Kulwa (35), mkazi wa Kata ya Uyogo wilayani Urambo kwa tuhuma za kumchinja mke wake mjamzito, kumpasua tumbo kisha kutoa watoto pacha.
Akizungumza Kamanda wa Polisi mkoani humo, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Richard Abwao amesema tukio hilo limefanyika Januari 30 mwaka huu saa 11 jioni likihusishwa na imani za kishirikina.
Kamanda Abwa amesema baada ya mtuhumiwa kumpasua mke wake, alitoa watoto pacha kisha kumpika mmoja huku mwingine pamoja na mwanaye mwingine aliyekuwa na miaka miwili, akiwazika.
“Wakati wa mahojiano alidai kuwa aliambiwa kuna watu wametumwa kumchukua mkewe na watoto, wanawapeleka Gambushi [eneo lililoko mkoani Simiyu linaloamika kwa nguvu za giza] kufanya kazi za kichawi usiku na siku si nyingi wangewachukua na kuwaua, ndio maana akaamua awaue yeye mwenyewe,” amesema Kamanda.
Source - SwahiliTimes
Jibu laini kwa swali gumu kabisa😅Unaonaje na wewe ukawahi fursa hiyo mrembo mwenzangu?
Maana mpaka kujua haya unaonekana kuwa na uhitaji kuliko mimi.
Angetajwa mkurya hapa, huu uzi ungekuwa haufunguki kwa wingi wa comments.
Labda ni utani tu shem😊Wananichokozaga wenyewe Shem, mi mpole sana. ☺️
Hapa ndipo nikirudi kwenye suala dini na imani naona kama ni porojo tu. Hebu tujiulize kidogo hivi mtu kana huyu kipimo cha dhambi yake ni sawasawa kipimo cha mtu aliyefanya "dhambi" ya uongo, ulevi au ulafi? Maana tunaambiwa kwa Mungu hakuna dhambi kubwa na ndogo hakuna kosa kubwa wala dogo je mnataka kuniambia huko kwa Mungu kosa la huyu ni sawasawa na kosa la mlevi na wote hao adhabu yao ni moja? Kama ni kweli basi huyu mtoa adhabu kuna mahala hayupo sawaJeshi la Polisi mkoani Tabora linamshikilia Hamis Kulwa (35), mkazi wa Kata ya Uyogo wilayani Urambo kwa tuhuma za kumchinja mke wake mjamzito, kumpasua tumbo kisha kutoa watoto pacha.
Akizungumza Kamanda wa Polisi mkoani humo, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Richard Abwao amesema tukio hilo limefanyika Januari 30 mwaka huu saa 11 jioni likihusishwa na imani za kishirikina.
Kamanda Abwa amesema baada ya mtuhumiwa kumpasua mke wake, alitoa watoto pacha kisha kumpika mmoja huku mwingine pamoja na mwanaye mwingine aliyekuwa na miaka miwili, akiwazika.
“Wakati wa mahojiano alidai kuwa aliambiwa kuna watu wametumwa kumchukua mkewe na watoto, wanawapeleka Gambushi [eneo lililoko mkoani Simiyu linaloamika kwa nguvu za giza] kufanya kazi za kichawi usiku na siku si nyingi wangewachukua na kuwaua, ndio maana akaamua awaue yeye mwenyewe,” amesema Kamanda.
Source - SwahiliTimes
Sasa kwa Hali hii tufanyaje ushauri wakoNdoa na mambo yake yanaleta tatzo la akili , ili tu either uue ,ujiue , ufungwe ikishindikana kabisa mpeana talaka na mwanaume aambue manyoya ,mwisho kabisa afe na stress.
Kama umeoa yakikufika shingoni bora ushirikishe watu unao waamni kuliko kupambana na tatzo peke yako.Sasa kwa Hali hii tufanyaje ushauri wako
Mimi ni mmoja ya watu ambao siwezi shirikisha mtu jambo nalopitia isipokua naingia church nakusali Mungu pekee aniepushe katka fikra mbofu mbofu niliachatu maana maji yalifika shingoni mwisho nikaona ntakuja kuua bure iishie jeraKama umeoa yakikufika shingoni bora ushirikishe watu unao waamni kuliko kupambana na tatzo peke yako.