Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,740
- 4,938
Ndoa na mambo yake yanaleta tatzo la akili , ili tu either uue ,ujiue , ufungwe ikishindikana kabisa mpeana talaka na mwanaume aambue manyoya ,mwisho kabisa afe na stress.
Miss unatuchanganya kwani Dunia inaelekea uko mwisho kuna nini😂
Huu ni unyama gani mkuu .toka kuumbwa ulimwengu hata shetani atakuwa alifunga machoMiss unatuchanganya kwani Dunia inaelekea uko mwisho kuna nini[emoji23]
Sasa ushauri wako tufanyaje ili ikae kwenye mstariHuu ni unyama gani mkuu .toka kuumbwa ulimwengu hata shetani atakuwa alifunga macho
Sent from my SM-A725F using JamiiForums mobile app
Pia wanawake kuweni makini, yaani kabla ya tukio baya kwakuwa mtu unaishi nae ni lazima unamjua in and out Kuna viashiria utavijua tu siku chache kabla au masaa machache kabla. Unaweza kuchukua tahadhari.
Achomwe kidogo kidogoSasa ushauri wako tufanyaje ili ikae kwenye mstari
Nawe kumbe muuaji wa kimya kimya😂
😂😂😂😂Vp ww uko mzimaHii nchi watu wanaumwa sana magonjwa ya akili serikali haijui tu
Mi mzima ila niliisha kufwa na ninasubiri nimkufwe mtu. vipi wewe mkuu😂😂😂😂Vp ww uko mzima
Tabora wamewajibu Dodoma😶Duh
Tabora wanakuja wanakuja nao
Kwenye ligi
Ova
Hivi mkoa wa Tabora upo kanda ipi??? Kanda ya ziwa? Au kanda ya kati? Au kanda ya Magharibi?Jeshi la Polisi mkoani Tabora linamshikilia Hamis Kulwa (35), mkazi wa Kata ya Uyogo wilayani Urambo kwa tuhuma za kumchinja mke wake mjamzito, kumpasua tumbo kisha kutoa watoto pacha.
Akizungumza Kamanda wa Polisi mkoani humo, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Richard Abwao amesema tukio hilo limefanyika Januari 30 mwaka huu saa 11 jioni likihusishwa na imani za kishirikina.
Kamanda Abwa amesema baada ya mtuhumiwa kumpasua mke wake, alitoa watoto pacha kisha kumpika mmoja huku mwingine pamoja na mwanaye mwingine aliyekuwa na miaka miwili, akiwazika.
“Wakati wa mahojiano alidai kuwa aliambiwa kuna watu wametumwa kumchukua mkewe na watoto, wanawapeleka Gambushi [eneo lililoko mkoani Simiyu linaloamika kwa nguvu za giza] kufanya kazi za kichawi usiku na siku si nyingi wangewachukua na kuwaua, ndio maana akaamua awaue yeye mwenyewe,” amesema Kamanda.
Source - SwahiliTimes
[emoji1787]hata bangi siyo hivyo
Kwisha habari yangu pesa Ina nguvu kuliko mahusiano😄Mi mzima ila niliisha kufwa na ninasubiri nimkufwe mtu. vipi wewe mkuu
Sijasoma palipondikwa walikuwa na matatizo ya kindoa, mhusika hata angekuwa bachelor anaishi na ndugu yawezekana angewafanya hivi hivi sababu inaonekana anasumbuliwa na “Sauti” sijui kitaalamu changamoto yake ya afya ya akili inaitwaje.Watu wa kwenye ndoa hao , ndoa ,ndoa ndoa tatzo kubwa.