Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]So what?
Mmoja aliniambia biashara yake ni mboga mboga, amejenga green house na analima hizi mboga zinazoliwa kila siku, mfano nyanya, carrots, hoho. Kila siku anapeleka mzigo wa laki nne sokoni.Kama biashara anayofanya inalipa, inawezekana.
Ila kweli uko sahihi..alaf sky unapenda mambo ya ujenzi bila shaka unafanya kazi kwenye hi sekta.mimi kiukweli bado sijapata wazo la kujenga.. wastan wa kipato changu kazin kwa mwaka NI million 12-15 basic salary + field rate included.. good news Sina wategemezi ila TU sijui kwanini sifikirii kujengaUnaacha legacy kwa wanao na ndugu wa karibu.
Kuna wanaojenga kwasababu wanalipa kodi ya pango kubwa sana, binamu yangu alijenga nyumba mara baada ya kuanza kazi baada ya kuishi kwa ndugu kwa manyanyaso. Ukiwa kwenye comfort zone si rahisi kuwaza kujenga.Ila kweli uko sahihi..alaf sky unapenda mambo ya ujenzi bila shaka unafanya kazi kwenye hi sekta.mimi kiukweli bado sijapata wazo la kujenga.. wastan wa kipato changu kazin kwa mwaka NI million 12-15 basic salary + field rate included.. good news Sina wategemezi ila TU sijui kwanini sifikirii kujenga
Sasa MTU anaeweza kumake 20m to 30ml ni wakawaida?Ni wa kubangaiza tu, akipata milioni 20 au 30 ananunua vifaa kazi inaendelea, hela ikikata anarudi kupiga mzigo.
Kwa mshahara huu, unachukua mkopo kununua kiwanja, unajenga banda ili kulinda kiwanja. Nyumba kubwa unajenga ukilipwa mafao ya kustaafu.Sasa MTU anaeweza kumake 20m to 30ml ni wakawaida?
Mm salary 540k hiv unahisi nyumb kam hiyo itanichukua miaka 230 kukamilika
Usipostaafu? Madame hatuna mkataba na MunguKwa mshahara huu, unachukua mkopo kununua kiwanja, unajenga banda ili kulinda kiwanja. Nyumba kubwa unajenga ukilipwa mafao ya kustaafu.
Mtu anaejenga apartments mara nyingi ni kwa biashara na ana makazi yake ya kuishi. Huyu bwana amejenga apartments 12, akipangisha kwa laki tano kila moja ana milion 6 kwa mwezi. Akizitunza nyumba vizuri hii ni cash flow mpaka mauti yanamkuta.Usipostaafu? Madame hatuna mkataba na Mungu
Nashauri kufanya yaliyo ndani ya uwezo wetu ili tufanye kwa muda na tufaidi tulichofanya
Nyumba yangu nimejenga ya kawaida kwa mwaka mmoja na mwaka huu nitafanya finishing kwa mkopo ili niishi
Sasa kujenga miaka 12 boonge la jumba huku ndani ya miaka hiyo unalipa kodi ambayo ungeifanyia jambo jingine kwa miaka 10 uliyookoa kwa kujenga miaka miwili. Na unaanza kuishi ukiwa huna fahari yoyote maana ujana ndio umejaa fahari uzee unawaza makazi mapya mbinguni ama akhera
Pengine ukafa kabla haijaisha
Stories hizo, hapo jamaa hela anazo sio kawaidaView attachment 2102885
Ni apartments
Ooh sikuelewa, Nilifikiri umelenga watu woteMtu anaejenga apartments mara nyingi ni kwa biashara na ana kusema makazi yake ya kuishi. Huyu bwana anehenga apartments 12, akipangisha kwa laki tano kila moja ana milion 6 kwa mwezi. Akizitunza nyumba vizuri hii ni cash flow mpaka mauti yanamkuta.