Amejenga hii bila mkopo wa benki, ilimchukua miaka nane kumaliza

Amejenga hii bila mkopo wa benki, ilimchukua miaka nane kumaliza

Kuna wanaojenga kwasababu wanalipa kodi ya pango kubwa sana, binamu yangu alijenga nyumba mara baada ya kuanza kazi baada ya kuishi kwa ndugu kwa manyanyaso. Ukiwa kwenye comfort zone si rahisi kuwaza kujenga.
Fact! Mimi Mwenyewe nimekumbuka kujenga baada ya kuanza kulipa kodi kubwa, awali wakati nalipa kodi ya laki na sitini kwa mwezi nilikuwa hata siwazi kujenga, lkni baada ya mahitaji ya familia kuongezeka nikagundua kodi ni moja ya kitu muhumu sana kukiondoa kwenye running cost zangu.
 
Kujenga kwa kutegemea mkopo wa benki ni risk sana, unless jengo liwe ni la kibiashara.
 
Mmoja aliniambia biashara yake ni mboga mboga, amejenga green house na analima hizi mboga zinazoliwa kila siku, mfano nyanya, carrots, hoho. Kila siku anapeleka mzigo wa laki nne sokoni.
Wapange tu wenzako, eti mbogamboga[emoji28].
 
Mtu anaejenga apartments mara nyingi ni kwa biashara na ana makazi yake ya kuishi. Huyu bwana amejenga apartments 12, akipangisha kwa laki tano kila moja ana milion 6 kwa mwezi. Akizitunza nyumba vizuri hii ni cash flow mpaka mauti yanamkuta.
Laki tano kwa mwezi, hizo apartments ziko maeneo gani??
 
Sky Eclat Happy New year dada
20220127_212916.jpg
 
Ukishaanza kuuliza maswali haya, huwa unaanza kutukanwa kwa sababu utaanza kuuona uhalisia ambao si kitu maarufu humu.
Sasa mkuu kodi ya 500K kwa mwezi tena ni apartment, mmh lazima niulizie location ya huo mjengo.
 
Ujenzi ni njia ya kuhifadhi au kugeuza liquid asset into solid asset. Ukiwa kijana una nguvu ni rahisi kupata liquid asset, hatari yake inaweza kumwagika muda wowote.

Ukijenga solid asset itakutunza kwa muda mrefu.
Haya mawazo na mtazamo ni ya mtu above 30s chini ya hapo kuwaza hivi itokee tu neema ya Muumba
 
Pesa ya jengo huwa hairudi mpaka unakufa; labda iwe lodge au hotel na hii pesa yake itarudi iwapo usimamizi utakuwa makini sana.
 
Mji wetu wa kudumu uko mbinguni au kaburini au jehanamu.
mkuu tafuta ELA kwa HALALI na bidii zaidi
MWENYEZIMUNGU ameshatuambia tuje tuijaze DUNIA
na Alipomuumba binadamu kwa mfano wake ili aje kuwa KHALIFA(KIONGOZI) apate kuitawala na KUIJENGA DUNIA

hvyo mkuu tafuta ELA zaidi ujenge majumba ufurahie vya DUNIA na raha zake
na misikiti/makanisa ili kujijengea nafasi AKHERA ukishakufa
kwa kuwa now upo HAI jenga MAJUMBA DUNIA ipendeze
 
Back
Top Bottom