Unaweza kuamini hivyo kwa mtu ambaye hawezi kufikiri nje ya box, wafanyabiashara wengi siyo transparent kwenye shughuli zao. Unamwona bwashee anauza hardware yake baada ya mwaka mmoja anajenga hotel ya ghorofa 6 anasema alikuwa anauza hardware materials, wengi utumia cover up za biashara zao kuficha watu wasijue kinachoendelea uvunguni mwa carpet. Au wengine wana ndugu wako serikalini to anakwapua pesa uko anatumia ndugu mwenye kibiashara uchwara watu wanaamini kwamba biashara zake Inalipa. Lakini ingekuwa nchi za watu makini wanaomba tax return zako toka uanze mpaka hapo kupata justification ya hilo jengo lako wakilifanyia valuations kama inaendana na biashara zako.