Kakupiga fix tu...Mmoja aliniambia biashara yake ni mboga mboga, amejenga green house na analima hizi mboga zinazoliwa kila siku, mfano nyanya, carrots, hoho. Kila siku anapeleka mzigo wa laki nne sokoni.
Mtu wa kubangaiza hawezi kuwa na kipato cha milioni 20 au 30. Labda mimi ndio sielewi maana ya neno kubangaiza.Ni wa kubangaiza tu, akipata milioni 20 au 30 ananunua vifaa kazi inaendelea, hela ikikata anarudi kupiga mzigo.
Good analysis umemchallenge vzr mnoUsipostaafu? Madame hatuna mkataba na Mungu
Nashauri kufanya yaliyo ndani ya uwezo wetu ili tufanye kwa muda na tufaidi tulichofanya
Nyumba yangu nimejenga ya kawaida kwa mwaka mmoja na mwaka huu nitafanya finishing kwa mkopo ili niishi
Sasa kujenga miaka 12 boonge la jumba huku ndani ya miaka hiyo unalipa kodi ambayo ungeifanyia jambo jingine kwa miaka 10 uliyookoa kwa kujenga miaka miwili. Na unaanza kuishi ukiwa huna fahari yoyote maana ujana ndio umejaa fahari uzee unawaza makazi mapya mbinguni ama akhera
Pengine ukafa kabla haijaisha
Ujenzi ni njia ya kuhifadhi au kugeuza liquid asset into solid asset. Ukiwa kijana una nguvu ni rahisi kupata liquid asset, hatari yake inaweza kumwagika muda wowote.Kujenga ni gharama sana yaan unajenga nyumba mil 100 ili upangishe 500k. Mara mia ununue mashamba ukate viwanja.
Najuta kujenga
Unaweza kuamini hivyo kwa mtu ambaye hawezi kufikiri nje ya box, wafanyabiashara wengi siyo transparent kwenye shughuli zao. Unamwona bwashee anauza hardware yake baada ya mwaka mmoja anajenga hotel ya ghorofa 6 anasema alikuwa anauza hardware materials, wengi utumia cover up za biashara zao kuficha watu wasijue kinachoendelea uvunguni mwa carpet. Au wengine wana ndugu wako serikalini to anakwapua pesa uko anatumia ndugu mwenye kibiashara uchwara watu wanaamini kwamba biashara zake Inalipa. Lakini ingekuwa nchi za watu makini wanaomba tax return zako toka uanze mpaka hapo kupata justification ya hilo jengo lako wakilifanyia valuations kama inaendana na biashara zako.Mmoja aliniambia biashara yake ni mboga mboga, amejenga green house na analima hizi mboga zinazoliwa kila siku, mfano nyanya, carrots, hoho. Kila siku anapeleka mzigo wa laki nne sokoni.
NIimependa hii ya cash flow naikata vizuri kwenye ku a certain value ya investments kwa dimensions za kibiashsra raha sana, mortgages sasa zinabamba sana coming back to lifeMtu anaejenga apartments mara nyingi ni kwa biashara na ana makazi yake ya kuishi. Huyu bwana amejenga apartments 12, akipangisha kwa laki tano kila moja ana milion 6 kwa mwezi. Akizitunza nyumba vizuri hii ni cash flow mpaka mauti yanamkuta.
Dah! Imebidi tu nicheke.So what?
Uko vizuri sana. Una uwezo wa kumfanya mtu aione kesho ya maisha yake. Be blessed.Kwa mshahara huu, unachukua mkopo kununua kiwanja, unajenga banda ili kulinda kiwanja. Nyumba kubwa unajenga ukilipwa mafao ya kustaafu.
Kwa jinsi unavyoongelea apartments nje ndani, ujenzi wake, faida na hasara na kero zake mi nafikiri ni jengo lako.Ni wa kubangaiza tu, akipata milioni 20 au 30 ananunua vifaa kazi inaendelea, hela ikikata anarudi kupiga mzigo.
Msidharau biashara ya mboga mboga, kitu cha muhimu ni kuwa na usafiri wa kupelekea mazao sokoni.Unaweza kuamini hivyo kwa mtu ambaye hawezi kufikiri nje ya box, wafanyabiashara wengi siyo transparent kwenye shughuli zao. Unamwona bwashee anauza hardware yake baada ya mwaka mmoja anajenga hotel ya ghorofa 6 anasema alikuwa anauza hardware materials, wengi utumia cover up za biashara zao kuficha watu wasijue kinachoendelea uvunguni mwa carpet. Au wengine wana ndugu wako serikalini to anakwapua pesa uko anatumia ndugu mwenye kibiashara uchwara watu wanaamini kwamba biashara zake Inalipa. Lakini ingekuwa nchi za watu makini wanaomba tax return zako toka uanze mpaka hapo kupata justification ya hilo jengo lako wakilifanyia valuations kama inaendana na biashara zako.
Hawao ndio wakwanza kupiga bei huo mjengo kila mtu akafie mbele. Wee jenga kitu kwa sababu unapenda wewe na kikufae wewe lakini masuala ya legacy kisa mjengo achana nayo. Watoto wanakuwaga na mawazo tofautiUnaacha legacy kwa wanao na ndugu wa karibu.
Watoto walio elimika hawauzi kirahisiHawao ndio wakwanza kupiga bei huo mjengo kila mtu akafie mbele. Wee jenga kitu kwa sababu unapenda wewe na kikufae wewe lakini masuala ya legacy kisa mjengo achana nayo. Watoto wanakuwaga na mawazo tofauti
Napenda sana mindset yako mkuu, always +ve minded [emoji122][emoji122]Msidharau biashara ya mboga mboga, kitu cha muhimu ni kuwa na usafiri wa kupelekea mazao sokoni.
Bamia ni mboga inayopendwa sana si Wahindi, Wanigeria hata Wabongo. Ukiwa na heka mbili za bamia unaweza kuvuna heka moja leo na kupata bamia za laki tatu-nne ukiwahisha sokoni.