Hii sio sahihi. Mtu anakufadhili. Ukifanikiwa ukaondoka yanakuwa mafanikio. Anakukisha, unalala, si ajabu anakupa na nauli. Mwisho wa siku manyanyaso.Kuna wanaojenga kwasababu wanalipa kodi ya pango kubwa sana, binamu yangu alijenga nyumba mara baada ya kuanza kazi baada ya kuishi kwa ndugu kwa manyanyaso. Ukiwa kwenye comfort zone si rahisi kuwaza kujenga.
Bia TamuHuyu atakuwa mkurugenz wa kAmpuni fulan sio sis huku wAnywA k-vant za kupima
NakaziaBia Tamu
Ili iweje ,kula maisha achana na mambo ya nyumbaUnaacha legacy kwa wanao na ndugu wa karibu.
Hata Yesu hakujenga,room yangu moja tu inanitoshaJiandae kunyanyaswa na ndugu uzeeni
Room moja self,watajuajeKama una uwezo jitahidi majirani wasiweze kuhesabu mara ngapi uliingia chooni leo.
Alisikika mlevi mmoja.Mji wetu wa kudumu uko mbinguni au kaburini au jehanamu.
Unamaanisha mke?Na yule wa kukupikia chakula uzeeni atalala wapi?
Hata kama nsingekuwa nakunywa beer hiyo mjengo ingenichua 270yrs kukamilishaBia Tamu
Sasa mkuu kodi ya 500K kwa mwezi tena ni apartment, mmh lazima niulizie location ya huo mjengo.
Milioni 20 au 30. Hiyo ni pension ya mtu [emoji23]Ni wa kubangaiza tu, akipata milioni 20 au 30 ananunua vifaa kazi inaendelea, hela ikikata anarudi kupiga mzigo.
Mwambie akuambie na ambayo hajakuambiaMmoja aliniambia biashara yake ni mboga mboga, amejenga green house na analima hizi mboga zinazoliwa kila siku, mfano nyanya, carrots, hoho. Kila siku anapeleka mzigo wa laki nne sokoni.
Eka tano za mboga mboga zinaweza kukuingizia laki tano kwa siku.Mwambie akuambie na ambayo hajakuambia
Maneno ya kimaskini sana na kukata tamaa. Kuna haja gani ya kuwa hapa duniani kama una mawazo mabovu kiasi hichoMji wetu wa kudumu uko mbinguni au kaburini au jehanamu.
Unastaafu, unachukua mafao, unajengea nyumba, unahamia, hela imeisha, unakosa ya kununua chakula, unaomba majirani chakula, wanakuchoka maana unaomba sana, wanakuwekea sumu, unakufa.....Kwa mshahara huu, unachukua mkopo kununua kiwanja, unajenga banda ili kulinda kiwanja. Nyumba kubwa unajenga ukilipwa mafao ya kustaafu.
Kama hali yako ni mbaya kiuchumi unabaki kwenye nyumba ya nyuma hii ya mbele unaweka mpangaji. Kwasababu kiwanja ulinunua muda mrefu eneo hilo litakuwa limesha changamka.Unastaafu, unachukua mafao, unajengea nyumba, unahamia, hela imeisha, unakosa ya kununua chakula, unaomba majirani chakula, wanakuchoka maana unaomba sana, wanakuwekea sumu, unakufa.....