Amekuwa kama mbawala aliyemulikwa na taa za gari gizani

Ndiyo aende chadema akafanye harakati

Na akithubutu kuleta uchochezi tuh nayeye tunamdaka vile vile
WAnaofanya kazi ngumu za chama chenu na kikundi chao cha pale Magomeni chini ya wazanzibar anakijua chote na mfadhili ndio huyu hawapatani ...unafikiri itakuwa kiboya boya eeeh ?
 
Hayo yoote ni mahangaiko yenu nyie halafu mnataka kulazimishia eti yanampa taabu Samia.
Mwajitesa wenyewe tu huku Samia akiendelea kumfyeka kila anayemzingua na hamna la kumfanya zaidi ya kujipa matumaini hewa nyuma ya keyboard
La kumfanya lipo, na linakuja.
 
Nchi inaenda ndio, ila inaenda wapi!!?
Pamoja na hayo yote unayoyasema,namuona yupo imara na anatekeleza wajibu wake kama vile hakuna kitu.Japo mie siasa sina muda nazo,na sina chama hapa Tanzania,huyo mama anatukanwa left,right and centre lakini nchi inaenda tu.Haya sisi yetu macho
 
Hivi unamfukuzaje mtu chama mtu aliyesema ameshaachana na siasa na CCM 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Kuteka na kufira raia ndio kutatua mambo yetu? You bitch give us a break
Sasa wewe utakua na tofauti gani na hao unaowalaum... kauli tu inaonesha ulivyo tu.Mambo kama haya bado yanaendelea kutuvua nguo CHADEMA
 
Bado tunarudi mule mule..ebu tuelimishane mfano wewe hupo madarakani na umeapa kulinda amani ya nchi hiyo.Wanatoke watu wanataka kukuondoa madarakani kwa njia ya kuchoma miundombinu,kuripua vituo vya mafuta,kuvamia vituo vya polisi, kuiba mali za watu,kuchoma na kuharibu miundombinu nk.Wewe kama ulieapa kulinda amani ya nchi watu hao ungewafanyaje ili kurejesha amani.KARIBU ILA USITUMIE MATUSI KUJADILI MAANA MAKAMANDA TUMEKALILI KUJIBU HOJA KWA MATUSI.
 
Babayako angekuwa na akili bao lililokuleta angemwagia nje
Nina uhakika wewe ni mwanachadema mwenzangu ila una mihemko na hasira kitu ambacho wala akikuongezei faida yoyote bali fedheha tu
 
Ajaribu aone
We mzee mwenye chuki dhidi ya TEC. si samuya wala jiwe mwenye nguvu yake binafsi ya kufanya chochote (hata cha hovyo) dhidi ya mtz yeyote...hao wajinga wote walitembelea/wanatembelea mapungufu ya KATIBA yetu mbovu...baasi!.
Ila taifa limepata somo so mwisho wa rais mjinga kutawala itakuwa ni awamu hii ya 6!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ Wao wanaingilia kwa sababu hata nyie viongozi hamuambiliki !! Hivi kweli watu wote waliouwawa mtu anasimama mbela ya hadhara anachamba ! Mkianza kuona aibu na kuwajibika kwa matendo yenu ! Hakuna mgeni anayeweza kuingilia nyumba yetu !!

Watu wanapotea mnajichekesha, hawa wanauawa mnajiongelesha ! Busara zenu haziwaongozi kutatua matatizo na kusikiliza waliowaweka hapo , Basi vimewashinda fuateni hata kilichoandikwa kwenye hicho kijitabu πŸ˜‚
In short mna viburi
 

Bado hamjasema mpaka msemee

Tunataka tuskie mkilia kwa sauti siyo kulia kwa kwikwi kama hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…