The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 4,249
- 11,592
Mulemule wapi? Be specificBado tunarudi mule mule..
Una fikra fupi sana...ebu tuelimishane mfano wewe hupo madarakani na umeapa kulinda amani ya nchi hiyo.Wanatoke watu wanataka kukuondoa madarakani kwa njia ya kuchoma miundombinu,kuripua vituo vya mafuta,kuvamia vituo vya polisi, kuiba mali za watu,kuchoma na kuharibu miundombinu nk.
Huwezi kulinda AMANI huku ukikanyaga na kupuuza HAKI za watu na raia...!Wewe kama ulieapa kulinda amani ya nchi watu hao ungewafanyaje ili kurejesha amani.KARIBU ILA USITUMIE MATUSI KUJADILI MAANA MAKAMANDA TUMEKALILI KUJIBU HOJA KWA MATUSI.
Wajinga sana hao.
Kuna wengine tunao ofisini, wana maisha mazuri sn tu na wanashuhudia vijana wa ajira mpya wanamwagika kila uchao lkn wanakwambia nchi imekwisha
Nilijua utakuja na maneno ya kejeli na vihoja kuliko kujenga hoja..Nakupa nafasi ya mwisho kujadiliana na wewe pia. Kukalilishwa kua amani ni tunda la haki sio sawa.. HAKI NI TUNDA LA AMANI ..Lakini pia inawezekana umeishi kwenye taifa lenye amani siku zote kwahiyo uwezi kujua wala kuelewa kua mapinduzi,vita na maasi uanza je ndugu. Hakuna mtu anaetaka watu kufa wala kuuliwa ila kila mtu anawajibika kufuata sheria zilizopo na kufuata kanuni zilizopo.Tukifikiria kua sisi kama CHADEMA tutaingia Ikulu au tutapata mabadiliko kwa njia hizo basi mjue kua itakua shida kubwa sana nasisi ata tukiingia pia tutaondolewa hivyo hivyoMulemule wapi? Be specific
Una fikra fupi sana...
Nani kukuambia kila crime ni tishio la wewe kuondolewa madarakani?
Yaani majambazi yaibe huko kwenye nyumba ya mtu au watu wavunje Benki na kuiba wewe Rais uone kuwa hilo ni tishio la kukung'oa madarakani na uanze kujihami kijinga na kipumbavu kwa kuamuru majeshi kuua watu hovyo barabarani na mitaani..?
Are you really ok upstairs ndugu Bishweko?
Read me here very carefully my friend Bishweko....
Alichofanya Samia 29/10 na serikali yake yote kwa kuua watu hovyo kwa kisingizio hicho unachosema hapa si uongozi, bali ni desparation, insecurity, fear of unknown, hofu, mashaka, woga, na uhuni tu...
A true and good leader ni yule anayeweza kukabaliana na very serious challenges without causing chaos or more serious problems...
Hayo yote unayoyataja hapa ni makosa ya jinai ya kawaida yanayoyotokea kila siku na kila wakati na yanapaswa kushughulikiwa kirahisi tu kwa mujibu wa sheria zetu..
She was not supposed to go there....
Huwezi kulinda AMANI huku ukikanyaga na kupuuza HAKI za watu na raia...!
A simple rule kuhusu hoja yako ni kuwa: AMANI ni tunda HAKI. Bila HAKI forget about AMANI..
Na AMANI hailindwi kwa mtutu wa bunduki. AMANI hujilinda yenyewe kama watu wote tunapendana na kutendeana HAKI. Out o that, it's always chaos and disasters...!
Ndugu umejenga hoja vizuri lakini tunaweza kujikumbusha..Je,ni kweli yaliyotokea yesingeweza kuzuiwa? Ni msimamo wa sisi CHADEMA kwa watu kutotii mamlaka iliyopo madarakani asa kufanya fujo,kuvamia vituo vya kupigia kula,kuchoma miundombinu,kuiba mali na kuvamia vituo vya polisi.😂😂 Wao wanaingilia kwa sababu hata nyie viongozi hamuambiliki !! Hivi kweli watu wote waliouwawa mtu anasimama mbela ya hadhara anachamba ! Mkianza kuona aibu na kuwajibika kwa matendo yenu ! Hakuna mgeni anayeweza kuingilia nyumba yetu !!
Watu wanapotea mnajichekesha, hawa wanauawa mnajiongelesha ! Busara zenu haziwaongozi kutatua matatizo na kusikiliza waliowaweka hapo , Basi vimewashinda fuateni hata kilichoandikwa kwenye hicho kijitabu 😂
In short mna viburi
Japo wanasema marehemu hasemwi ila magufuli alifeli sana kumtiaaaaa huyu mama kuwa makamu kitendo cha kumtiaaaaaaa kwenye umakamu ndio kimetufikisha hapa
Naona anatengeneza mazingira hapo Uganda kikiwaka iwe ni smooth escape route muda wowote . Ruto haeleweki .
Dua la kuku halimpati mweweNatamani Samuya yamfuke kama ya Ghadaf, Assad, Bashiru, Mgabe na makima wengine.
Kwa vile mimi ni binadamu siwez kuingilia ukuu wa Mungu, ila namuombea apooze na apoteze kumbukumbu.
2025 mpinzani wake mkuu alikuwa nani vile?SAMIA NI RAIS WA TAIFA HILI
NA YUPO PALE KIKATIBA,TUTAMLINDA KWA WIVU MKUBWA KABISA...
YEYOTE ATAKAEJARIBU KUCHEZA NA PREZOO TUTADEAL NAYE HAIJALISHI YUPO NYUMA YA NANI.
Kabla ya hapo kwanini hao watu wajitokeze kufanya hayo yote wakiwa na hasira...Bado tunarudi mule mule..ebu tuelimishane mfano wewe hupo madarakani na umeapa kulinda amani ya nchi hiyo.Wanatoke watu wanataka kukuondoa madarakani kwa njia ya kuchoma miundombinu,kuripua vituo vya mafuta,kuvamia vituo vya polisi, kuiba mali za watu,kuchoma na kuharibu miundombinu nk.Wewe kama ulieapa kulinda amani ya nchi watu hao ungewafanyaje ili kurejesha amani.KARIBU ILA USITUMIE MATUSI KUJADILI MAANA MAKAMANDA TUMEKALILI KUJIBU HOJA KWA MATUSI.
Para inatonipa rahaHuku bado kukiwa na wingu kubwa jeusi likiwa limetanda kutoka ICC…
Imevimba haswaaNchi imekwama pakubwa haswa
Ahsante lakini tukiwa wakweli tunaweza kutatua mengi.Unataka kusema kila atakae patwa na tukio mfano la kupotea au kuhisi kuna ufisadi basi afanye fujo,achome miundombinu nk..Hivi kwanini akufanya hivyo wakiwa wanaenda Ikulu nasio kuwashambulia raia na maskini wenzao?Kabla ya hapo kwanini hao watu wajitokeze kufanya hayo yote wakiwa na hasira...
Before 29 Oct, wananchi walipata hasira baada ya ufisadi mkubwa katika historia kujulikana...
Uchaguzi kuminywa, viongozi wa upinzani kuwekwa rumande..
Utekaji na mauaji..
Uonevu wa polisi..
Kwa jinsi Watanzania walivyotekwa na kuuawa kikatili before Oct 29 unategemea ndugu zao wangekaa kimya?
Sasa we unafikiri wangefanya kipi ili wasikike?Ahsante lakini tukiwa wakweli tunaweza kutatua mengi.Unataka kusema kila atakae patwa na tukio mfano la kupotea au kuhisi kuna ufisadi basi afanye fujo,achome miundombinu nk..Hivi kwanini akufanya hivyo wakiwa wanaenda Ikulu nasio kuwashambulia raia na maskini wenzao?
Mimi nafikiri ilibid watu watii tu amri halali basi nasio vinginevyo then mambo yanazungumzika. Hivi unajaua ata Haiti kuna utekaji ambao mwanzoni ilionekana na kuaminika kua ni serikali lakini mwisho kumbe ni genge flani.Sasa we unafikiri wangefanya kipi ili wasikike?
Kila aliyekuwa anaongea anatekwa na kuuawa kikatili , mifano ipo mingi..
Watu wamepiga sana kelele, na wananchi walipofikia hatua ya kusema wataandamana siku ya uchaguzi watawala wakawatishia watawapiga na kuwaumiza, na sio watawala tu hata chawa wa hao viongozi ikiwemo wasanii walitoa kauli za vitisho, ulisikia kina Manara walichosema na wengineo..
Hio ndio iliwapa zaidi wananchi hasira, hizo kauli ndizo ziliwafanya raia wajiandae Kwa lolote, maana walifahamu nguvu itatumika na wengi wanafahamu Watanganyika ni waoga na wasingefanya lolote lile...
Watanganyika ni wataratibu, wapenda amani na wasikivu , lakini hata mtu mpole ana kikomo chake...
Hayo yote yalisababishwa na serikali , haina haja ya kulaumu raia , huo ni unafiki... kwanini hamuilaumu serikali ambayo iliziba masikio kusikiliza raia wanasemaje...?
Kwanini hamuilaumu kwanza serikali ama watawala kwa makosa waliyofanya..
Matokeo yake ndio hayo... hata siku moja huwezi kulaumu mob ya watu, ambao wapo dis organized , wakifanya maamuzi kwa hasira... Kila mmoja ana akili zake...
We ulitaka wafanye nini? Anayechoma miundombinu na anayetoa roho za watu nani shetani halisi?
BAKWATA ina hisa DP WORLD?Hiyo ni kwa mujibu wa nyinyi na kanisa lenu
Nchi ipo vizuri na ile DP World bado inawanyima usingiz
Mimi nafikiri ilibid watu watii tu amri halali basi nasio vinginevyo then mambo yanazungumzika. Hivi unajaua ata Haiti kuna utekaji ambao mwanzoni ilionekana na kuaminika kua ni serikali lakini mwisho kumbe ni genge flani.
Yaan shida ya CCM hivi kweli mnasema watu wamevamia wamechoma vituo vya kupigaNdugu umejenga hoja vizuri lakini tunaweza kujikumbusha..Je,ni kweli yaliyotokea yesingeweza kuzuiwa? Ni msimamo wa sisi CHADEMA kwa watu kutotii mamlaka iliyopo madarakani asa kufanya fujo,kuvamia vituo vya kupigia kula,kuchoma miundombinu,kuiba mali na kuvamia vituo vya polisi.