Ameniomba hela ya chai; nimemrushia buku na 200 ya kutolea amekasirika!

Nimejifunza kitu hapo, mtoto wa watu akija jichanganya anataka hela ya chai nitatuma 600 chai ya 500 100 ya kuitolea, huku chai ni 100 andazI 200, so atapata chai na andazi 2
 
Ndo TAMISEMI wafanye juu chini,mwezi huu wahΓ kikishe waalimu wa English Language,wanapewa kipaumbele pamoja na Bed Ece ili msingi mzuri wa lugha uandaliwe.Kupuuza hilo,matokeo yake ndiyo haya.
Hiyo sentensi ya kiingereza imekuharibia heshima kidogo uliyokuwa nayo.
 
Balqior hili suala kwa upande wako unalizungumziaje Mpaji Mungu Sema chochote basi
Ingekuwa mimi hata hiyo tshs 1200 asingepata, ningemwambia iyo hela aje kuichukua ghetto..

Wanaume tunapenda kuwapa hela wanawake tulio nao kwenye mahusiano, ila naona kama sahivi, baadhi ya wanaume wanaanza kujua tofauti kati ya kuhudumia na kutapeliwa Leejay49
 
Kwani huyo si ni mpenz wake jamani auπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
mbona naona wengi wenu mnamsifiaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Alieleta mada hakutuma buku kama anavotanabaisha bas tu Kaamua changamoto

Wanaomsifia ni kuchangamsha genge tu maaana kwa mademu zao hawatumi buku 😁😁

Usichukulie serious sana vijana wa humu aisee Kwa ground tunatoa pesa vzr
 
N
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…