sitagliptin
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 1,208
- 2,525
Hu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kanda ya ziwaSi kila mtu anaweza makandokando. Some people are straightforward
Mapenzi ni upofu lkn Mungu ataenda kumfungua aepuke hili janga.. bora aumie kwa muda mfupi kwa kumkosa kuliko mateso yanayo msubiria kama ataingia kwenye hii ndoa 🚮🚮Binti anajiingiza kwenye mateso makubwa sana
Hili ndio neno,kuhusu kumsaidia rafiki yake sikatai,angemsaidia lkn alichokosea ni the way alivyomfikishia mwenziwe taarifa,kwa maana kwamba alikuwa ameshaamua tayari,lkn pia hakutoa taarifa ukweni hapo ndo shida ilipoanzia.Mkuu...mwanaume ni simba, kiongozi na mshawishi.
Inategemea na aprochi yake.
Angemwita amwambie....my love plz naomba tuahirishe kwani nilitegemea kupata pesa lakini nimeahirishiwa nami aitaki nikuaibishe kwa wazazi wako.
Naomba tusogeze mbele kidogo...binti asingekataa lakini kutamka wazi unamsaidia rafiki na aio ndg ilikuwa dharau mkuu
Huwa hawaumwagi Hawa mkuu[emoji23]Hawa jeuri dawa yao ni magonjwa yakiwapiga ndio wanashuka na kutaka kusaidiwa.
Upendo mamaAisee wanawake sijui hua tunafeli wapi jamani dah,
Upendo mama
Sahihi kabisa! Ukiwa kapuku tegemea kuwa mtu wa kudharirika ukweni, kwa kuomba misamaha mara kumi kumi bila sababu za msingi,Tafuta pesa utaombwa msamaha wewe😂😂
Upendo ni upofu,haoni Wala hasikii[emoji3]huko ni kutokujiamini , hamna upendo wa kipuuzi namna hiyo
Mapenzi ya zamani sana hayo, eti upofu😏Upendo ni upofu,haoni Wala hasikii[emoji3]
Ila hapa kakosea,tuache masihara wangekuwa wamekutana tu wawili hakuna utambulisho kwa pande zote mbili ingekuwa sio kesi,lkn ni watu walitambulika officially,it's not right for what he has doneSahihi kabisa! Ukiwa kapuku tegemea kuwa mtu wa kudharirika ukweni, kwa kuomba misamaha mara kumi kumi bila sababu za msingi,
Barikiwa mwenye kichwa kizuri.Kwahiyo kwa mawazo yako binti ndo kakosea!?!?..... Aisee walio kwenye mchakato wa kutafuta wachumba kwasasa Mungu awasaidie.. sio kwa vichwa hivi 🚮🚮
Kama uliahidi kuitoa hadi na wazazi wakajua kuna siku utafika utatoa, wewe nenda tu kaombe msamaha, ahadi ni deni na kufanya ukauzu kabla hata ndoa yenyewe kuanza basi msiiwaze kabisa achaneni nayo, mtashindwana.Miezi michache iliyopita, nilitengana na mwenzi wangu wa muda mrefu baada ya kusitisha kuota mahari nyumbani kwao na kuamua kumsaidia rafiki yangu ambae alikuwa kwenye changamoto fulani za kimaisha.
Nilipomjulisha kwamba nitaahirisha kutoa mahari, hakukubali na aliniomba tuachane. Nilikubali na kumtakia kila la kheri lakini pia nikamsihi kwamba kama atafikiria uamzi wa tofauti basi nitakuwa tayari kumpokea.
Jana alinipigia simu na kuomba msamaha. Alijutia sana, hatimae, nikaamua kumsamehe. Jambo gumu ambalo bado linaniumiza kichwa, ni yeye kutaka mimi niwaombe ndugu zake na wazazi wake msamaha kwa kutokupeleka mahari kwa muda tuliopanga.
Kabla sijatoa maamuzi, naombeni ushauri. Hili jambo ni sawa?
[emoji23][emoji23] kuna mipango yako na kuna mipango ya Mungu, wewe unawaza panga hili na Mungu kakupangia lile so maisha hayana formula. Angekuwa hana msimamo kama angemwacha kabisa ila aliahirisha kwaemergence iliyotokea ila hakuacha msimamo wake kuwa atatoa mahali sema binti alishindwa uvumilivu. Ni vitu viwili tofauti. Binti alisusa na kuzira, mipango hupangwa ila jua Mungu anamipango yake. Kukosa msimamo ni kitu kingine kabisa.Umemkosea na umempa fedheha kwa familia yake, na Umevunja Ahadi..!!!
Kama ni mimi ningeshakublokilia mbali everywhere kuanzia kwenye Moyo,nafsi,akili etc
Unaonekana hauna msimamo wala clear vision, Mwanaume mwenye Vision habadili plans zake kwa changamoto za ghafla, huyo Dada ningemjua ningemshauri akusahau angaalie maisha yake
Very trueJamaa ulichemka Sana
We endekeza tu maneno ya watu kukataa ndoa na kuleta ujana. Kitu unasahau ni kuwa Hao unaowaona marafiki zako leo hutakuja kuwaona kesho ukiwa unaumwa unavaa pampers.
Ujana huwa unawasumbua Sana, stori nyingiiiii ila hamjui ya mbele yenu.
Wewe ulijitolea kuacha kutoa mahali na kujenga familia yako ambayo kimsingi ndio rafiki wako wa kweli na kumsaidia mshkaji, subiri sasa utakuja kuona Nani Atakuwa upande wako katika maisha yako.
Hii ya kumtisha mtu ili iweje[emoji23][emoji23][emoji23]. Yaani hata kilichomfanya ahairishe mahari na kumsaidia kwanza mwenzake hukijui ila tayari ushakuwa judge jury na executioner [emoji23][emoji23][emoji23]. Mtu anaweza kufa hivihivi, wewe ukasema mahari kwanza wakati mahari ni zawadi. Mtu hajaikataa ndoa, wewe ushamlabel kuwa mpinga ndoa, mwana tumia busara kwanza kukurupuka hakujawahi kumuacha mtu salama na kama umeoa basi jitaidi kulikabili hilo jamboJamaa ulichemka Sana
We endekeza tu maneno ya watu kukataa ndoa na kuleta ujana. Kitu unasahau ni kuwa Hao unaowaona marafiki zako leo hutakuja kuwaona kesho ukiwa unaumwa unavaa pampers.
Ujana huwa unawasumbua Sana, stori nyingiiiii ila hamjui ya mbele yenu.
Wewe ulijitolea kuacha kutoa mahali na kujenga familia yako ambayo kimsingi ndio rafiki wako wa kweli na kumsaidia mshkaji, subiri sasa utakuja kuona Nani Atakuwa upande wako katika maisha yako.
Kwahiyo uyo ulomsaidia ndo atakuw msaada auPampasi za kutoka wapi? ni busara sana kutokufikiria mambo ya namna hiyo. Una uhakika kwamba nikiumwa yeye ndo atakua msaada? let's be objective,,,