Amenisadia sana, lakini nataka nimuache niolewe na HB. Namuachaje kiustaarabu?

Mpatie rafiki yako wa kike ambaye alikuwa anamheshimu au wanaheshumiana sana kwa kutengeneza mazingira Safi
 
Usifanye hivyo kesho anaweza kuwa msaada kwako maisha uzunguka Mwache kistaarabu, usiingie kwenye ndoa kwa kujilazamisha kifuatacho ni talaka. Mweleze live ukishindwa, mtumie message, au tuma mtu. Ataumia then atazoea ata move on. Kuvunja uchumba sio kosa wala dhambi.
 
Huu ushauri ungewaomba wazazi wako waliokuwa na jukumu la kukulea wakamuachia jukum mtoto wa mwenzao halaf leo unataka ushaur kwetu.
Sema tu ukumbuke malipo ni hapa hapa duniani.
Kwani alilea bure si alilipwa mbususu
 
Mpaks muda huu bado sijaijua jinsia ya mtoa mada.
Anajigeuza geuza Sana mpaka humu tunachanganyikiwa Yaani.
 
😳😳😳
 
Uko tayari kurudisha vya watu? Haki ya nani utauawa!
 
Hermaphrodite wewe
Una Jinsia Mbili Kama Mpapai ?
Rudisha vya watu ndio uondoke vinginevyo kasome kisa cha Bwana Cherehani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…