Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Unatafuta mwanamke wa uwezo wako ,kuna hata wa laki mbili mbonaKutamka Mahari milioni 5 Kwa Binti ambaye unajua hakujitunza Kwa kweli kwangu nitacheka Mbele ya Wakwe.
Hiyo biashara hata Guangzhou huwezi ikuta
Umetoaga ngapi?😂😂😂7 million [emoji28][emoji28] SITOI
Tuzungumzia mahari na siyo hayo makorokolo unayotaja. Mahari yako ilikuwa milion 3?Tafuta wa uwezo wako,milioni tatu ni hela ndogo binafsi sikuolewa kwa mahali ndogo hivo
Makorokolo ndo angalau 2M weka na mahari sasa
Unatafuta mwanamke wa uwezo wako ,kuna hata wa laki mbili mbona
Mimi nilishindwa kumjibu asante kwa jibu zuri mkuuUnatafuta mwanamke wa uwezo wako ,kuna hata wa laki mbili mbona
Kama ni waislamu kisheria anayetaja mahari ni anayeolewa tu, mzazi au ndugu wengine hawana haki ya kupanga mahari ya bintiHuyo mwanaume si aende ukweni awasikilize?;tangu lini binti akapanga mahari bila wazazi na ndugu wengine?
Halafu huyo mwanaume ye anatakaje kwani? Sogea tukae?
Mkuu naomba sasa tuwe siriaz kidogo.Tuzungumzia mahari na siyo hayo makorokolo unayotaja. Mahari yako ilikuwa milion 3?
Kutafuta wa uwezo wangu siyo shida ila shida inapokuja unatoa mahari milion 3 halafu mwanamke anakucheat hapo lazima bastola au gunia za mkaa zihusike.
Wanawake bhana hela ndogo wakati yeye hana hata hiyo milion 3. Msingi wake mbususu
Ni bahati maana atatunzwa maisha yake yote na urithi utamwachia akumbwaga anapata 50% ya mali zako, bahati iliyojeKwanini swala la mwanamke kuolewa kichukuliwe kama bahati kwao?
Mimi mpaka leo huwa sioni logic ya neno "bahati" kwenye swala la ndoa, unless tuondoe definition ya "ndoa ni makubaliano kati ya wawili"
Ndoa ikichukuliwa kama bahati basi mtalia sana kile kilio cha 'kataa ndoa"
Unatoa na bado unapigwa tukio. Unakuta anagegedwa kwenye kitanda chako.7 million [emoji28][emoji28] SITOI
Mkuu yani umepita mule mule ngija nikutag kwe post yanguKwanini swala la mwanamke kuolewa kichukuliwe kama bahati kwao?
Mimi mpaka leo huwa sioni logic ya neno "bahati" kwenye swala la ndoa, unless tuondoe definition ya "ndoa ni makubaliano kati ya wawili"
Ndoa ikichukuliwa kama bahati basi mtalia sana kile kilio cha 'kataa ndoa"
7 million [emoji28][emoji28] SITOI
Haijalishi ni kubwa au ni ndogo ila siwezi kutoa mahari ya milion 3. Hata kama angekuwa bikraMkuu naomba sasa tuwe siriaz kidogo.
Hebu niambie ukweli toka moyoni.
3m ni pesa kubwa?
Pesa yako kubwa kushika mara moja ni kiasi gani?
Huenda ninaweza kukuelewa...
KUwa mkweli
Kwa kifupi wewe humfai huyo kwani hata akiugua ugonjwa wa kutibiwa kwa pesa kubwa zaidi ya 3m hutatoa.Haijalishi ni kubwa au ni ndogo ila siwezi kutoa mahari ya milion 3. Hata kama angekuwa bikra
Pesa nitakayotoa ni mwisho laki 7 tofauti na hapo akatafute mwanaume mwingine wa kumuoa.
Wanawake bhana. Anaweza kukuambia baby naomba 20,000. Ukamtumia 15,000Kwasababu huna wenye nazo wanatoa
Kwani wangapi wametoa hizo hela na baada ya kupata matatizo hao hao wanawake waliotolewa milion 3 wamewakimbia? Je, huyo mwanamke atakuwa amemfaa?Kwa kifupi wewe humfai huyo kwani hata akiugua ugonjwa wa kutibiwa kwa pesa kubwa zaidi ya 3m hutatoa.