Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Ndoa sio hela kama mnasisitiza hela kwanza sidhani kama kuna ndoa hapoKwa tetesi ninazozisikia ni kuwa ili mtoto aolewe inatakiwa mahali ya Tsh. Milioni tatu ππππ
Kama hamna hela au hauna hela ya kulipa muacheni Binti wa watu, fuateni taratibu zinazotakiwa na ninampingeza huyo Binti kwa msimamo mwenye Nia nae atafuata taratibu zote KINYUME na hapo subiri ndoa ya uji kabla ya Ramadan
Atakuwa ni kichaa huyo kama si kurogwa, siwezi kununua mtu mimi.Kaka angu alioa kwa 7 m, endelea kushangaa hiyo 3
Mahari ni utaratibu uliopitwa na wakati, mahari ni biashara kama biashara zingine haina manufaa yoyote kwa wanandoa.Vijana mnapenda sana kulalamika sasa hiyo 3M ndio unakuja kujiliza huku?
Unataka upewe mke bure? Hebu fikiria utapata wapi uhalali wa kumnyandua mkeo ikiwa hujatoa hata mahari na kutambulika kwao??
Kama vijana huna pesa za mahari nenda kaongee na wazee wa binti watakupa muda wa kutafuta pesa za mahari.
Tatizo kubwa la vijana wa nyakati hizi mnapenda sana Kitonga mtakuja kugeuzwa wake mshangae macho yenu.
Wewe uli nunuliwa kwa shilling ngapi ?Tafuta wa uwezo wako,milioni tatu ni hela ndogo binafsi sikuolewa kwa mahari ndogo hivo
Makorokolo ndo angalau 2M weka na mahari sasa
Sasa rafiki kwa nini uchague bidhaa ya hovyo na bei ipo juu? Si uchague bidhaa ambayo itaendana na mfuko wako na uridhike nayo vinginevyo si unaacha mbona rahisi sana.Kuna wakati unataka kununua bidhaa ila bei ya bidhaa hailingani na ubora wa bidhaa.
Flash drive 2GB, bei ni 60,000. Hata kama wewe ndiyo Biligate utanunua?
Inashangaza sana kwa mwanamke mwenye ndoto ya kuolewa na kuitumikia familia yake kuanza kuweka vikwazo kama anavyoviweka huyu binti
Amepata mwanaume ambaye yuko kwenye mstari mnyoofu wa maisha, ana biashara yake ya kukidhi maisha. Halafu anaambiwa aolewe naye anaanza kuleta vigezo vya umri, mara eti anahitaji aolewe kihalali, ifanyike harusi, mwanaume akajitambulishe ukweni akiwa na kitenge cha mama. Kwa tetesi ninazozisikia ni kuwa ili mtoto aolewe inatakiwa mahali ya Tsh. Milioni tatu ππππ
Yaani unapata mwanaume wa kukuoa zama hizi unaleta maringo! Zama za vijana wa kataa ndoa!!? ππ Tena mtu amejijenga vya kutosha! Ee Mola tunusuru, dunia ina vioja vya kila namna
Enyi wanawake wa nchi hii, jaribuni kukua kifikra. Ndoa si maembe mabichi kama ilivyokuwa zamani, kama kweli anania ya kujilipua kwenye hili janga la maumivu, mpe nafasi hiyo mara moja. Ndoa ni bahati siku hizi
Mwenzenu anajikita malaika huku. Tunasubiri aikanyage vyema miaka 30's aende kukanyaga mafuta, afie huko huko kwa msongamano
Yaani unapata mwanaume wa kukuoa zama hizi unaleta maringo! Zama za vijana wa kataa ndoa!!? [emoji23][emoji23] Tena mtu amejijenga vya kutosha! Ee Mola tunusuru, dunia ina vioja vya kila namna
Hakuna sehemu nimetukana,Atakuwa ni kichaa huyo kama si kurogwa, siwezi kununua mtu mimi.
Mahari haina faida yoyote chini ya jua, iwepo isiwepo haiongezi wala kupunguza chochote kwa wanandoa na familia yao.
Huo ujinga anauweza kaka ako pekeake
Mahari is not really about pesa 100%, it's about spiritual matters, Mungu aliagiza mume atoe mahari, ili mume awe na uwezo wa kutengeneza generation mpya isiyo na vifungo vya giza na mkewe, kibiblia mahari anapanga mzazi, au mtu mwenyewe Anaeoa apendavyo, na anavyoweza kutoa.Muoaji afuate utaratibu unaopaswa hata kwenye Biblia Jacob alifanya kazi kwa Laban miaka 7 Ili ampate Rachel, vijana wa siku hizi mnarahisisha Kila kitu kina protocol na baraka zake kutoka kwa wazazi.
Mwanaume aliependa ashindwi jambo .
Kataa mahari ni utumwa.Hakuna sehemu nimetukana,
Unaweza kuchangia mada bila kutukana na ukaeleweka,
Vitu vingine kama sio ligi yako na hauna exposure it's better to keep quiet.
Kwa uandishi huo ni dhahiri wewe ni kichaa hata katika uhalisia wa maisha yako.
Kenge wewe
Wewe ume nunuliwa kwa shilling ngapi ? Au biashara ya kuuzwa kwako bado haija fanyika ?Huyo mwanaume kama anampenda mwanamke wake kweli kinachomkwamisha kufuata taratibu ni kitu gani? Anataka ajibebee tu ameambiwa ni nyanya hizo? Aache janja janja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawe ume nunuliwa tayari kama wenzako au bado ?Hakuna sehemu nimetukana,
Unaweza kuchangia mada bila kutukana na ukaeleweka,
Vitu vingine kama sio ligi yako na hauna exposure it's better to keep quiet.
Kwa uandishi huo ni dhahiri wewe ni kichaa hata katika uhalisia wa maisha yako.
Kenge wewe
Kwa Dar ukitaka ukumbi wa sherehe namaanisha harusi ni lazima ufanye booking miezi mitatu kabla, kambi ziko full booked, labda uko kijijini kwenu ndio wanawake hawaolewi.Inashangaza sana kwa mwanamke mwenye ndoto ya kuolewa na kuitumikia familia yake kuanza kuweka vikwazo kama anavyoviweka huyu binti
Amepata mwanaume ambaye yuko kwenye mstari mnyoofu wa maisha, ana biashara yake ya kukidhi maisha. Halafu anaambiwa aolewe naye anaanza kuleta vigezo vya umri, mara eti anahitaji aolewe kihalali, ifanyike harusi, mwanaume akajitambulishe ukweni akiwa na kitenge cha mama. Kwa tetesi ninazozisikia ni kuwa ili mtoto aolewe inatakiwa mahali ya Tsh. Milioni tatu ππππ
Yaani unapata mwanaume wa kukuoa zama hizi unaleta maringo! Zama za vijana wa kataa ndoa!!? ππ Tena mtu amejijenga vya kutosha! Ee Mola tunusuru, dunia ina vioja vya kila namna
Enyi wanawake wa nchi hii, jaribuni kukua kifikra. Ndoa si maembe mabichi kama ilivyokuwa zamani, kama kweli anania ya kujilipua kwenye hili janga la maumivu, mpe nafasi hiyo mara moja. Ndoa ni bahati siku hizi
Mwenzenu anajikita malaika huku. Tunasubiri aikanyage vyema miaka 30's aende kukanyaga mafuta, afie huko huko kwa msongamano
Mama yako mzazi alinunuliwa kwa shilling ngapi?Wewe ume nunuliwa kwa shilling ngapi ? Au biashara ya kuuzwa kwako bado haija fanyika ?
Mwanamke ana chukulia serious sana suala la ndoa na harusi ndio maana kwake huonekana kuwa ni suala la bahati lakini kwa upande wa mwanaume haipo hivyo.Abeeeeee at ndoa ni bahati? So Manara hana bahati ya ndoa? Na hawa wanao achana kila siku vip?
Enewe ayamu riding ze komentis.
Huu upumbavu wa kununua wanawake kwa kigezo cha mahari mama yangu na mzee wangu wali upiga vita wakati wa ujana wao, hawa kushiriki hii biashara ya utumwa.Mama yako mzazi alinunuliwa kwa shilling ngapi?