Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kwahiyo ulianza kuzaliwa wewe ndio ukawazaa baba yako na mama yako ukawashuhudia wakitaka kuowana na wakipinga mahari au siyo?Huu upumbavu wa kununua wanawake kwa kigezo cha mahari mama yangu na mzee wangu wali upiga vita wakati wa ujana wao, hawa kushiriki hii biashara ya utumwa.
Na huu ndio msimamo wa familia yetu hatu uzi mtu.
Wajinga pekee ndio wana endeleza hii biashara hasa hasa hili bara la watu wajinga.
Mimi nakuelezea hali halisi ya familia yetu mpaka sasa ipoje unanilitea habari za kuzaliwa.Kwahiyo ulianza kuzaliwa wewe ndio ukawazaa baba yako na mama yako ukawashuhudia wakitaka kuowana na wakipinga mahari au siyo?
JF imejaa vijana wapumbavu wengi sana siku hizi.
UmenenaMahari ni utaratibu uliopitwa na wakati, mahari ni biashara kama biashara zingine haina manufaa yoyote kwa wanandoa.
Mahari itolewe isitolewe haiwezi kuongeza wala kupunguza chochote kwenye ndoa.
Endeleeni kuwauza watoto wakike kwa uhuni unaoitwa mahari
π Haya bwana.Mtego hu[emoji16]
Kwetu hakuna biashara ya watu. Sijui huko kwenu.Wewe ume nunuliwa kwa shilling ngapi ? Au biashara ya kuuzwa kwako bado haija fanyika ?
Atajutia siku ikifikaInashangaza sana kwa mwanamke mwenye ndoto ya kuolewa na kuitumikia familia yake kuanza kuweka vikwazo kama anavyoviweka huyu binti
Amepata mwanaume ambaye yuko kwenye mstari mnyoofu wa maisha, ana biashara yake ya kukidhi maisha. Halafu anaambiwa aolewe naye anaanza kuleta vigezo vya umri, mara eti anahitaji aolewe kihalali, ifanyike harusi, mwanaume akajitambulishe ukweni akiwa na kitenge cha mama. Kwa tetesi ninazozisikia ni kuwa ili mtoto aolewe inatakiwa mahali ya Tsh. Milioni tatu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani unapata mwanaume wa kukuoa zama hizi unaleta maringo! Zama za vijana wa kataa ndoa!!? [emoji23][emoji23] Tena mtu amejijenga vya kutosha! Ee Mola tunusuru, dunia ina vioja vya kila namna
Enyi wanawake wa nchi hii, jaribuni kukua kifikra. Ndoa si maembe mabichi kama ilivyokuwa zamani, kama kweli anania ya kujilipua kwenye hili janga la maumivu, mpe nafasi hiyo mara moja. Ndoa ni bahati siku hizi
Mwenzenu anajikita malaika huku. Tunasubiri aikanyage vyema miaka 30's aende kukanyaga mafuta, afie huko huko kwa msongamano
Kulalamika huku unajiondoa kwenye kundi la wanaume.Inashangaza sana kwa mwanamke mwenye ndoto ya kuolewa na kuitumikia familia yake kuanza kuweka vikwazo kama anavyoviweka huyu binti
Amepata mwanaume ambaye yuko kwenye mstari mnyoofu wa maisha, ana biashara yake ya kukidhi maisha. Halafu anaambiwa aolewe naye anaanza kuleta vigezo vya umri, mara eti anahitaji aolewe kihalali, ifanyike harusi, mwanaume akajitambulishe ukweni akiwa na kitenge cha mama. Kwa tetesi ninazozisikia ni kuwa ili mtoto aolewe inatakiwa mahali ya Tsh. Milioni tatu ππππ
Yaani unapata mwanaume wa kukuoa zama hizi unaleta maringo! Zama za vijana wa kataa ndoa!!? ππ Tena mtu amejijenga vya kutosha! Ee Mola tunusuru, dunia ina vioja vya kila namna
Enyi wanawake wa nchi hii, jaribuni kukua kifikra. Ndoa si maembe mabichi kama ilivyokuwa zamani, kama kweli anania ya kujilipua kwenye hili janga la maumivu, mpe nafasi hiyo mara moja. Ndoa ni bahati siku hizi
Mwenzenu anajikita malaika huku. Tunasubiri aikanyage vyema miaka 30's aende kukanyaga mafuta, afie huko huko kwa msongamano
Swali zuri.Mama yako mzazi alinunuliwa kwa shilling ngapi?
Babee [emoji847]Swali zuri.
Mambo?Babee [emoji847]
Poa babee mzima weweMambo?
Ila mnatoa na kupokea mahari ?Kwetu hakuna biashara ya watu. Sijui huko kwenu.
Nzuri kabisa ila na naumwa na mawazo ya kukufikilia babee
[emoji23][emoji23] ebu changia mada kwanza hayo tutaongea badae.Nzuri kabisa ila na naumwa na mawazo ya kukufikilia babee
Sawa ila utanifikilia babee?
Sio lazima, ila nafasi ikijitokeza, tena kwa mtu ambae upo nae kwenye mahusiano, hakuna baya, ingia tu ndoani.πππKwani Lazima uwe mtumwa wa ndoa?