Amepata bahati ya mwanaume wa kumuoa, anaweka vikwazo vya mahari na kutambulishana

Amepata bahati ya mwanaume wa kumuoa, anaweka vikwazo vya mahari na kutambulishana

Huu upumbavu wa kununua wanawake kwa kigezo cha mahari mama yangu na mzee wangu wali upiga vita wakati wa ujana wao, hawa kushiriki hii biashara ya utumwa.

Na huu ndio msimamo wa familia yetu hatu uzi mtu.

Wajinga pekee ndio wana endeleza hii biashara hasa hasa hili bara la watu wajinga.
Kwahiyo ulianza kuzaliwa wewe ndio ukawazaa baba yako na mama yako ukawashuhudia wakitaka kuowana na wakipinga mahari au siyo?

JF imejaa vijana wapumbavu wengi sana siku hizi.
 
Kwahiyo ulianza kuzaliwa wewe ndio ukawazaa baba yako na mama yako ukawashuhudia wakitaka kuowana na wakipinga mahari au siyo?

JF imejaa vijana wapumbavu wengi sana siku hizi.
Mimi nakuelezea hali halisi ya familia yetu mpaka sasa ipoje unanilitea habari za kuzaliwa.

Familia yetu haiuzi mwanamke kwa kuwa hata wazee wetu hawa kununuana huu ndio utaratibu wa familia.

Watu wajinga pekee ndio huuzana kama mafungu ya nyanya sokoni.
 
Mahari ni utaratibu uliopitwa na wakati, mahari ni biashara kama biashara zingine haina manufaa yoyote kwa wanandoa.

Mahari itolewe isitolewe haiwezi kuongeza wala kupunguza chochote kwenye ndoa.

Endeleeni kuwauza watoto wakike kwa uhuni unaoitwa mahari
Umenena
 
Mahari ina uhusiano na thamani ya mwanamke, moja ya sababu ya kulipa pesa kubwa ilibidi kwamba mwanamke hajawi kuwa kwenye mikono ya mwanaume mwingine, kuna jamaa anasema "women are just like an empty vessel, waiting for someone else to install programming" hauwezi kutoa pesa nyingi afu bado uje kupewa kero na mitazamo ya wanaume wake wa nyuma. So Brother km ana hiyo thamani mpe pesa na kama hana mwambie achukue hiyo laki ngapi, vinginevyo asubiri mshamba ampige.
 
Inashangaza sana kwa mwanamke mwenye ndoto ya kuolewa na kuitumikia familia yake kuanza kuweka vikwazo kama anavyoviweka huyu binti

Amepata mwanaume ambaye yuko kwenye mstari mnyoofu wa maisha, ana biashara yake ya kukidhi maisha. Halafu anaambiwa aolewe naye anaanza kuleta vigezo vya umri, mara eti anahitaji aolewe kihalali, ifanyike harusi, mwanaume akajitambulishe ukweni akiwa na kitenge cha mama. Kwa tetesi ninazozisikia ni kuwa ili mtoto aolewe inatakiwa mahali ya Tsh. Milioni tatu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yaani unapata mwanaume wa kukuoa zama hizi unaleta maringo! Zama za vijana wa kataa ndoa!!? [emoji23][emoji23] Tena mtu amejijenga vya kutosha! Ee Mola tunusuru, dunia ina vioja vya kila namna

Enyi wanawake wa nchi hii, jaribuni kukua kifikra. Ndoa si maembe mabichi kama ilivyokuwa zamani, kama kweli anania ya kujilipua kwenye hili janga la maumivu, mpe nafasi hiyo mara moja. Ndoa ni bahati siku hizi

Mwenzenu anajikita malaika huku. Tunasubiri aikanyage vyema miaka 30's aende kukanyaga mafuta, afie huko huko kwa msongamano
Atajutia siku ikifika
 
Inashangaza sana kwa mwanamke mwenye ndoto ya kuolewa na kuitumikia familia yake kuanza kuweka vikwazo kama anavyoviweka huyu binti

Amepata mwanaume ambaye yuko kwenye mstari mnyoofu wa maisha, ana biashara yake ya kukidhi maisha. Halafu anaambiwa aolewe naye anaanza kuleta vigezo vya umri, mara eti anahitaji aolewe kihalali, ifanyike harusi, mwanaume akajitambulishe ukweni akiwa na kitenge cha mama. Kwa tetesi ninazozisikia ni kuwa ili mtoto aolewe inatakiwa mahali ya Tsh. Milioni tatu 😂😂😂😂

Yaani unapata mwanaume wa kukuoa zama hizi unaleta maringo! Zama za vijana wa kataa ndoa!!? 😂😂 Tena mtu amejijenga vya kutosha! Ee Mola tunusuru, dunia ina vioja vya kila namna

Enyi wanawake wa nchi hii, jaribuni kukua kifikra. Ndoa si maembe mabichi kama ilivyokuwa zamani, kama kweli anania ya kujilipua kwenye hili janga la maumivu, mpe nafasi hiyo mara moja. Ndoa ni bahati siku hizi

Mwenzenu anajikita malaika huku. Tunasubiri aikanyage vyema miaka 30's aende kukanyaga mafuta, afie huko huko kwa msongamano
Kulalamika huku unajiondoa kwenye kundi la wanaume.

Pambania unachokitaka. Hakuna kitu automatic
 
Back
Top Bottom