hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 13,628
- 20,992
Haya SIO maombi Hawa mapepo yamewavaaKwenye maombi kama haya hata ukiwa na magonjwa 100+ kama mleta mada ni lazima utapona tu 🙏🏿
View attachment 3195673
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya SIO maombi Hawa mapepo yamewavaaKwenye maombi kama haya hata ukiwa na magonjwa 100+ kama mleta mada ni lazima utapona tu 🙏🏿
View attachment 3195673
Badala ya kujivuna kuwa umesoma/unaijua Biblia kuliko mimi, itapendeza zaidi uki-share faida ulizopata kwa kusoma Biblia. Anyway, I appreciate that you’ve taken the time to study the Bible deeply; it’s clear you have a strong commitment to seeking understanding. My intention is not to argue or belittle anyone’s knowledge or faith, but rather to share what I’ve learned through my own journey.Hizo ni hekaya kama za Abunuwasi tu.
Biblia nimeisoma kuliko hata wewe.
Kwa hivyo huwezi kunidanganya kitu.
Sana sana utashindwa kujibu maswali yangu uanze kufanya ad hominem fallacy kusema kwamba I'm lacking holy spirit to understand the scriptures. While the scriptures are illogical.
HakikaHichi ndo kitu kimepelekea unaona Africa Ilipofikia sa hivi.
Tunasafari ndefu sana..
Yaan hata walotuletea hizi dini kuna muda wanatushangaaa
Imani huponya 🙏Huu ni ushuhuda wa kweli kabisa. Katika maisha yangu nimekuwa nikiugua magonjwa mengi ya aina mbalimbali. Kifuani, tumboni, miguuni, katika vidole, machoni, masikioni, puani, kichwani, nk, nk. Muda hautoshi kuyaeleza kwa kina. Kwa haraka haraka naweza kusema tangu ujana wangu nimeugua zaidi ya magonjwa 100. Namshukuru Mungu kwakuwa amekuwa akiniponya magonjwa kila yanaponiijia. Ninachokifanya, kila nikiumwa, namuomba Mungu aniponye kwa Jina la Yesu, kisha naweka mkono wangu juu ya sehemu inayoumwa na kuuamuru ugonjwa utoke kwa Jina la Yesu; kisha naamini kwamba imekuwa hivyo. Wakati mwingine inachukua muda kuona matokeo lakini wakati mwingine ugonjwa unatoweka saa hiyo hiyo. Maneno aliyosema Yesu ni kweli kabisa. Katika Mk 16:17-18 anasema: “Na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio; kwa jina langu(Yesu) watatoa pepo; watasema kwa lugha mpya; watashika nyoka; hata wakinywa kitu cha kufisha, hakitawadhuru kabisa; wataweka mikono yao juu ya wagonjwa, nao watapata afya.”
Huu ni uthibitisho kuwa Mungu yupo na anatenda miujiza hata leo kwa watu wanaomuamini. Kwa ushuhuda huu sikuambii usiende hospitali. La, hasha! Ukiwa na pesa, nenda. Nenda hata hospitali za nje ya nchi. Hata mimi kuna wakati huwa naenda hospitali kwa kuwa najua kwamba Mungu anaweza pia kuponya kwa kuwatumia madaktari. Hata hivyo ninapoenda hospitali bado naweka matumaini yangu kwa Mungu kwakuwa najua madaktari nao kuna magonjwa yako juu ya uwezo wao au elimu yao; na wakati mwingine nadhani huwa wanajisahau, badala ya kutia moyo wanakatisha tamaa. Kuna siku nilipungukiwa damu, nikaenda kumuona Daktari. Aliponipima na kuhakikisha damu imepungua, akaniuliza: “Damu umepeleka wapi wewe?” Usipokuwa na matumaini kwa Mungu ukiulizwa swali hilo la kuvunja moyo unaweza ukaugua mara mbili zaidi. Na kwa magonjwa niliyougua, kama kila ugonjwa ningekuwa nakimbilia hospitali, ningehitajika kuwa milionea maana ningepaswa kulipa pesa nyingi za matibabu. Namshukuru Yesu anaponya bila kulipa hata senti. Nawasikitikia wanaosema eti Mungu hayupo. Wanakosa baraka hizi za uzima.
Hata hivyo kuna vigezo na masharti ya kuzingatia ili mtu aone kikamilifu uponyaji wa Mungu kwa Jina la Yesu. Baadhi ya vigezo vimeelezwa katika Andiko hili: Kutoka 15:26. “Mungu akasema, ‘Kama mtaisikiliza kwa bidii sauti yangu mimi BWANA Mungu wenu na kuyafanya yaliyo sawa mbele yangu, kama mtayatii maagizo yangu na kuzishika amri zangu zote, sitaleta juu yenu ugonjwa wowote niliowaletea Wamisri, kwa kuwa Mimi ndimi BWANA, niwaponyaye.’” Uponyaji wa Mungu ni wa bure kwa wote wanaozingatia maneno hayo. Ukisikia Mtumishi anakuambia ulipe pesa kwanza ndio akuombee, jihadhari naye. Yesu alipowapa mamlaka wanafunzi wake ya kukemea pepo na kuweka mikono juu ya wagonjwa ili wapone, aliwaambia amewapa bure, hivyo wanapaswa kutoa huduma hiyo bure(Mathayo 10:8).
Yamkini unaumwa, umetibiwa kila mahali hujapona. Usikate tamaa. Ushuhuda huu ukutie moyo kuwa unaweza kupona kwa uwezo wa Jina la Yesu Kristo. Yote yawezekana kwake aaminiye(Mk 9:23). Amen.
Magonjwa MtambukaMimi ndio hua nawafundisha.
😀😀
😄😃😃😃😃😃Kunywa taratibu hiyo chai na Super Loaf, halafu tumbo likianza kuuma nenda hospitali utapewa dawa. Maumivu yakizidi waite Watumishi wa Mungu watakuombea utapona kwa Jina la Yesu.
Ila hyo kamba bhanaaa wewe magonjwa 100 uwe nayo mtu mmoja mwili au jalala HUO NI UONGO HUO NI UONGO BHNAAAAAAAUkiambiwa ukweli unasema "uongo huo bhanaa" Ukiambiwa uongo unasema "ukweli huo bhanaa" Pole sana!
Usinivunje mbavu bwanaaaa. Kinachoponyesha sio "mbwembwe" za kuomba bali ni imani katika Jina la Yesu.Kwenye "maombi" kama haya hata ukiwa na magonjwa 100+ kama mleta mada ni lazima utapona tu 🙏🏿
View attachment 3195673
Nifanyie maombi chap nina flu hatari, ili nitoe ushuhuda hapaYesu aliishanipumzisha mizigo ya dhambi a long time ago.
Huu uzi wenyewe ni dhambi kuliko dhambi zote,Yesu aliishanipumzisha mizigo ya dhambi a long time ago.
Mbavu zikivunjika si yupo Yesu atakuponya? wasiwasi wa nini sasa?Usinivunje mbavu bwanaaaa. Kinachoponyesha sio "mbwembwe" za kuomba bali ni imani katika Jina la Yesu.
Mimi ndio hua nawafundisha.
😀😀