Amiri jeshi Mkuu ambae hawezi kutoka na Kukemea utekaji na Mauaji napata wakati Mgumu kumpa kura Yangu

Amiri jeshi Mkuu ambae hawezi kutoka na Kukemea utekaji na Mauaji napata wakati Mgumu kumpa kura Yangu

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
14,971
Reaction score
18,641
Amirijeshi Mkuu ambae hawezi kutoka na Kukemea utekaji na Mauaji ya wananchi wake ananipa wakati mgumu sana kumpa kura yangu maana huai wa wananchi wake sio kipaumbele chake ndo maana hawezi kutoka na kukemea.

Je, huyu nikimpa kura yangu hataweza kunilinda hata nikimkosoa?
 
Kuna wagombea 17, nenda kampe yeyote mfano Mwajuma, alikemea utekaji Polepole alipotekwa, basi kampe hata Mwajuma, kitu muhimu ni kama umejiandikisha kupiga kura, kapige kura, usipopiga, utapigiwa, na itakwenda kwa usiempenda. Thread 'Kuna Vitu Ili Maisha Yaende, Lazima Upige!, Usipopiga, Utapigiwa! na Maisha Yataendelea!. Sasa Kati ya Kupiga na Kupigiwa, Bora Kipi? Nakushauri Piga!' Kuna Vitu Ili Maisha Yaende, Lazima Upige!, Usipopiga, Utapigiwa! na Maisha Yataendelea!. Sasa Kati ya Kupiga na Kupigiwa, Bora Kipi? Nakushauri Piga!

P
 
Kuna wagombea 17, nenda kampe yeyote mfano Mwajuma, alikemea utekaji Polepole alipotekwa, basi kampe hata Mwajuma, kitu muhimu ni kama umejiandikisha kupiga kura, kapige kura, usipopiga, utapigiwa, na itakwenda kwa usiempenda.

P
Comrade unafurahia na yanayoendelea kwa mfano kitoto kidogo kama Niffer kinacheza Tik tok mnaenda kumkamata kama Jambazi mtu ambae angeweza kutumiwa wito na Jeshi la Police?
 
Back
Top Bottom