Amos Makalla ametudhalilisha na kututukanisha wana Dar es Salaam na watanzania kwa ujumla

Amos anaenda kutupaka kinyesi watanzania wenzake πŸ˜‚πŸ˜‚ ni aibu kubwa mtanzania kufunzwa usafi na mnyarwanda, mkenya, mrundi nk.
 
Kama ni hivyo hapakuwa sababu ya kwenda mbali kuchoma kodi zetu. Angewapeleka Moshi wakajifunze afu baada ya wiki warudi wakiwa vizuri kichwani.
amewadhalilisha vipi wakati ukweli ni kuwa nyie ni wachafu, machinga wa nchi ni wachafu utafikiri siyo binadamu. wasiwasi wangu ni kuwa watafundishika kweli?

Dar es Salaam ni chafu haina mfano mpaka Michael Jackson alikuwa anafunga pua muda wote jiji linanuka muda wote. Badilikeni au mnataka muendelee na uvundo wenu?
 
Yote hii ni conflict of interest, Sasa Hawa mameya na Matumbo Yao wanasimamia nini kama RC ndio anajipa ziara ya kuzurura!? Eti kukagua usafi Kigali, my country
Imegine mtu kama Makalla akafunzwe namna ya kuoga na Kagame.
 
Huyo "Sakala" hana alijualo zaidi ya kusumbuana na machinga. Mjinga sana huyo jamaa. Nasikitika sana Simba kuwa na shabiki mjinga kama Sakalla.
 
Kama ni haya unayohisi basi na iwe hivyo. Lakini kama ni ku stick kwenye hii point ya thread basi amechemsha.
Kuna jamaa mmoja wa kitengo aliwahi kuniambia kuwa 'usalama wa nchi unapatikana pia kupitia katika matukio fulani ambayo mwananchi ataona ni ya kawaida na ya kijinga kwelikweli na serikali huwa inafanya makusudi hivyo'.

Tangu hapo mi huwa sichukulii poa mambo haya, wanawaza mbali na kujua zaidi ya tunavyojua.
 
Huyo "Sakala" hana alijualo zaidi ya kusumbuana na machinga. Mjinga sana huyo jamaa. Nasikitika sana Simba kuwa na shabiki mjinga kama Sakalla.
Swala la machinga nakubaliana na wewe. Ila la team kwa kweli abaki huko huko Simba. Yanga haiwezi kuwa na mtu wa aina yake.
 
Ya kwa namna fulan nimekuelewa mkuu
 
Hilo la uchafu sishangai,

Si nyie mlishawahi kuzuiliwa kwenda mjini mpaka muoge eti mlikuwa mnanuka.....!


Basi Makala Yuko sahihi, kubalini kujifunza ili mbadilike.

Ni hayo tu.
 
Nguvu ya Jina kwenye maisha ya Mtu: Wanaoitwa majina ya Amos wengi wao hawajawahi kuwaga na akili ni wachache sana wanaokuwaga na majina hayo wanakuwa smart kichwani wengi ni wapuuzi puuzi kichwani, Nina wasiwasi na neno Makalla inawezekana maana yake sio nzuri pia..
 
Herry James, poa sana mtu yule. Sio hawa akina "Sakalla" kukimbizana na machinga kila aendako. Utadhani ndio jukumu kuu la mkuu wa mkoa.
 
Amos makala mzee wa makala kama jina lake πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Hilo la uchafu sishangai,

Si nyie mlishawahi kuzuiliwa kwenda mjini mpaka muoge eti mlikuwa mnanuka.....!


Basi Makala Yuko sahihi, kubalini kujifunza ili mbadilike.

Ni hayo tu.
Sio kila alie Dar ni mwana Dar es salaam. Kuna wengine wakuja, wamekuja na tabia zao za uchafu kutoka katika mikoa yao na kufanya mkoa mzima uonekane kuwa ni watu wa aina hiyo.
 
Ya inawezekana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…