Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
- #41
Amos anaenda kutupaka kinyesi watanzania wenzake 😂😂 ni aibu kubwa mtanzania kufunzwa usafi na mnyarwanda, mkenya, mrundi nk.Huyu namjua sana, ni wale wale, Dar inataka mtu anayethamini taratibu na sheria zilizopo, Sio Hawa wapiga Domo!! Namaanisha, taratibu na sheria!!! Kuna mtu kama Heri James alikuwa anashindana na viongozi wake kuvunja sheria na taratibu ili TU tumbo lake lishibe