Pre GE2025 Amos Makalla: Mbowe ni dhaifu, anashindwaje kesi na wanawake 19 na kumfukuza Lissu anayedai CHADEMA kimepokea hela chafu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hili bumunda halina akili kweli, kesi ya covid 19 iko Mahakamani alitaka Mbowe afanye nini juu ya mahakama? Na kuhusu Lissu , ni kuwa Lissu alimtuhumu Abdul na mama yake kuwa ndiyo wanapenyeza hela chafu kuivuruga Chadema, sasa Mbowe anaingiaje kwenye tuhuma zilizoelekezwa kwa Mama Abdul?
Kesi inatajwa mara 1 kila baada ya miezi 6 kwa maelekezo ya Ikulu
 
Bora hii nafasi angeendelea kuitumikia Paul Makonda tu, ila huyu jamaa naona hana mbinu Wala uwezo.

Hii Nafasi imekuwa kubwa mno kwake

Kama zamani tungesema Kiatu hakimtoshi
 
Hapa ndipo mnapokosea wapeni wananchi habari ya mipango ijayo iliyofanyika pia iwacheni muwafafanulie watu sakata la mpina basi kumtaja mbowe ni kumpa sifa za kisiasa!
Sifa anazo hata zinamwagika,jengeni nanyi sifa yenu,watu wenu na chama chenu.🤣
 
Anafanya siasa outdated sana, na vile ukizingatia hana mvuto ndio hatari zaidi. Anajua akiitaja cdm na Mbowe ndio ataipa ccm mvuto!
Chama kama chote-CCM hakina mvuto..Makala na Nchimbi wanahangaika sana,mkutano mmoja unachukua wiki nzima kuuandaa...Ndo maana Makala ameamua arudi mjini angalau...asikike...Logistics inasumbua sana huko Mikoani na Vijijini,kuhutubia mkutano zaidi ya mmoja kama wenzao wa CHADEMA imekuwa changamoto.....Uhutubie watu hapa,hao hao uwasombe kwenye maroli kwenda sehemu nyingine ukawahutubie,walewale tena uwahamishie pengine...imekuwa ngumu,wanachoka mpaka madereva wa malori walalamika,chakula nacho hawatoi....aisee CCM wapo hoi....Ajabu sasa adui anaonekana ni Mbowe...nadhani sababu ya mwitikio wa watu kwenye mikutano yake anayofanya mpaka 7 kwa siku moja.Natabiri mikutano ya CHADEMA kupigwa stop soon ili kuwa punguza kasi...
 
Amos unazingua ujue ,usitufanye sisi MABUMUNDA kama wewe ,hao covid 19 unajua walivyoingia na walivyolindwa na awamu ya tano kuingia bungeni.
Huyu guluguja Amos Makalla ukimuangalia alivyoumuka mashamvu kama anapuliza moto utajua tu kuwa kichwani hamna kitu, mpumbavu sana
 
Katibu Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM, CPA. Amos Makala amesema Mwenyekiti wa CHADEMA
Freeman Mbowe kama alishindwa kumfukuza Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu @TunduALissu
hana ujasiri hivyo asiwaaminishe watanzania kuwa kuna ujasiri wanapaswa kuwa nao.

Akizungumza katika mkutano wa hadhara baina yake na wananchi wa Jimbo la Kibamba Makala amesema “kama Mbowe ni jasiri unashindwaje kesi na wanawake 19 wako bungeni.

Kama Mbowe ni jasiri unashindwaje kumfukuza Tundu Lissu aliyesema chama chako kimepokea hela chafu?”

Pia soma
- Amos Makalla: CCM inasikitishwa sana na hela chafu zilizoingizwa CHADEMA na migawanyiko inayoendelea

Yaan ukiwapata uongozi CCM na akili zinayeyuka
 
Chama kama chote-CCM hakina mvuto..Makala na Nchimbi wanahangaika sana,mkutano mmoja unachukua wiki nzima kuuandaa...Ndo maana Makala ameamua arudi mjini angalau...asikike...Logistics inasumbua sana huko Mikoani na Vijijini,kuhutubia mkutano zaidi ya mmoja kama wenzao wa CHADEMA imekuwa changamoto.....Uhutubie watu hapa,hao hao uwasombe kwenye maroli kwenda sehemu nyingine ukawahutubie,walewale tena uwahamishie pengine...imekuwa ngumu,wanachoka mpaka madereva wa malori walalamika,chakula nacho hawatoi....aisee CCM wapo hoi....Ajabu sasa adui anaonekana ni Mbowe...nadhani sababu ya mwitikio wa watu kwenye mikutano yake anayofanya mpaka 7 kwa siku moja.Natabiri mikutano ya CHADEMA kupigwa stop soon ili kuwa punguza kasi...
..
 
Attachments

  • Screenshot_20230918-210933.jpg
    Screenshot_20230918-210933.jpg
    109.2 KB · Views: 2
  • JamiiForums1012362808.jpeg
    JamiiForums1012362808.jpeg
    39.8 KB · Views: 1
Katibu Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM, CPA. Amos Makala amesema Mwenyekiti wa CHADEMA
Freeman Mbowe kama alishindwa kumfukuza Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu @TunduALissu
hana ujasiri hivyo asiwaaminishe watanzania kuwa kuna ujasiri wanapaswa kuwa nao.

Akizungumza katika mkutano wa hadhara baina yake na wananchi wa Jimbo la Kibamba Makala amesema “kama Mbowe ni jasiri unashindwaje kesi na wanawake 19 wako bungeni.

Kama Mbowe ni jasiri unashindwaje kumfukuza Tundu Lissu aliyesema chama chako kimepokea hela chafu?”

Pia soma
- Amos Makalla: CCM inasikitishwa sana na hela chafu zilizoingizwa CHADEMA na migawanyiko inayoendelea

hivi huyu ndio kila akiwa mkuu wa mkoa masoko yana ungua au subirini kuunguza ccm makao makuu
GSY2ZwAWwAAXivk.jpg
 
Back
Top Bottom