Pre GE2025 Amos Makalla Mwenezi mpya CCM Taifa, Ally Hapi Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi

Pre GE2025 Amos Makalla Mwenezi mpya CCM Taifa, Ally Hapi Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Daaah! ukweli usiofichika uteuzi huu wapinzani watakuwa wameufurahia sana. Ni dhahiri wapinzani wasingeimudu ccm ya Makonda kutokana na mvuto alionao kwa wananchi na speed ya 5G katika kudeal na shida za wananchi naona, kabisa ccm inaenda kupoa tena.
 
CCM imetawala Nchi hii kwa muda mrefu sana ni vizuri sasa tuone anguko lake au sio?

Au wewe unaonaje?
 
Ndio mnavyojifanganya. Yaani Makala amuogope makonda. Yule alikuwa bado anakata majani, kulishhana kutawaza nng'ombe a mzee Sitta wakati Makalla ni mwekahazina wa chama. Mna mpa Uking wa kijinga sana Makonda. Kamshindwa GSM, Atamuweza Makalla.
Usikaririri maisha wahindi na waarabu na wazungu wametoka mbali makwao huko leo hii ndiyo wameshika uchumi wa Tanzania.

Kuzaliwa mjini siyo tiketi ya kujua kila kitu au kufaulu maisha

Na kuzaliwa bush siyo tiketi ya kutokujua mambo

Hebu angalia hapo dar wafanyabiashara wengi ni wa kuja kutoka huko unakokuita wewe kijijini

Wazawa wapo tu wamelala
 
Nafasi ya Katibu wa Uenezi na Itikadi inapaswa kuwa ya Vijana damu changa na sio wazee dizaini ya Amos Makala.

Kwa uteuzi huu sitoshangaa mama kurudi tena mezani kabla ya 2025 kusaka Mwenezi mwingine...
Ingekuwa ccm inashindana kwa hoja, huu ushauri wako ungekuwa na maana. Lakini kwa hii ccm inayotegemea mbeleko ya vyombo vya Dola, hakuna tofauti ya vijana na wazee, maana siku ya mwisho ccm itategemea mbeleko ya vyombo vya Dola kukaa madarakani kwa shuruti.
 
Unaota unajisahaulisha ccm wana mbinu 1000 za kushinda mpaka sasa washatumiaga mbinu mbili tu
 
Safu haipigii kura chama Bali wajomba zako bibi zako shangazi zako dada zako na wanavijiji wenzao
 
MWENEZI MPYA CCM
FZY3Fy2WIAA3OTN.jpg
 
Back
Top Bottom