mfanyakazfake
Member
- Feb 14, 2023
- 23
- 42
Kila zama na nyakati zake, ccm wasiendelee kuzarau watz siku moja watawaazibu hawataamini macho yao, siasa mchezo mchafu sanaCcm haitegemei kura kukaa madarakani, dhalimu Magufuli ameshapandikiza mbegu mbaya kwenye chaguzi zetu.