Pre GE2025 Amos Makalla Mwenezi mpya CCM Taifa, Ally Hapi Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ccm haitegemei kura kukaa madarakani, dhalimu Magufuli ameshapandikiza mbegu mbaya kwenye chaguzi zetu.
Kila zama na nyakati zake, ccm wasiendelee kuzarau watz siku moja watawaazibu hawataamini macho yao, siasa mchezo mchafu sana
 
List ni ile ile tu, yaani hii nchi hadi inakera mtu alishaanza kujipata mtaani kaishakula pesa za Ukuu wa Mkoa hadi mafao, tena karudishwa.

Kuna watu potential kibao lakini hata hawafikiriwi kuitumikia nchi yao,

Its so unfair
 
Kwanza Hongera kwa kuvaa viatu vya mtangulizi wako Paul Makonda.

Lakini tathimini fupi kwenye mitandao ya kijamii baada ya uteuzi wako, Kizazi Kipya cha Wapiga kura (Watoto wa 2000) wengi wanakutilia mashaka kama utakidhi matakwa ya Siasa za kileo. Una kazi kuwa prove wrong.

Kila lakheri.
 
Ccm imekwisha kabisa imeoza haina watu wa maana
Inasikitisha kwasababu CCM ndio inatupa picha ya viongozi wa nchi yetu kwakuwa hatuna uhakika na chaguzi zetu.

Ukiangalia aina ya viongozi toka awamu ya kwanza mpaka sasa utaona vile hii nchi inavyoporomoka katika swala la uongozi.

Sasa nashindwa kuelewa ni kwamba nchi hii ina upungufu wa watu makini, au wapo watu makini ila hawajipendekezi na hivyo hawapendwi?
 
Kama hamumkubali Papaa Amos Makala mutu ya watu, andamaneni kwenda ofisi zenu za chama. Ilikuwa ni lazima chama kurejeshwa katika mikono salama ya watoto wa mjini.

Hata mfanye nini; haitasaidia kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…