Pre GE2025 Amos Makalla Mwenezi mpya CCM Taifa, Ally Hapi Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Atakidhi haja zao ikiwezekana atufufulie ile wazee wangwasuma mwigulu yeye anunua matimu tu yasiyo na faida!
 
Ukiwa kwenye nchi ya watu wenye akili ndogo ni shida Sana, wanaamini uenezi ni kuropokaropoka tu. Huwezi kuwa na akili timamu ukashawishi watu eti Makonda alikuwa mtu sahihi. Yaan utembee na msafara wa magari zaidi ya 30 then ukikaribia eneo la tukio upande punda kujifanya mnyonge na wapumbavu wanasifu.
 
Kama hamumkubali Papaa Amos Makala mutu ya watu, andamaneni kwenda ofisi zenu za chama. Ilikuwa ni lazima chama kurejeshwa katika mikono salama ya watoto wa mjini.

Hata mfanye nini; haitasaidia kitu.
Huyo mzee mshamba sana, hana ushawishi wa wapiga kura wa kizazi kipya. Hapo mama kapuyanga na kiukweli kabisa namuona akirudi mezani kuteua mwenezi mpya kabla ya uchaguzi mwakani.
 
Vijana wa Bashite mna shida sana. Ninyi ndiyo mkawa mnadanganyana kuwa Bashite anakubalika na ndiye atakisaidia CCM? Does CCM look like ACT to you?
 
Old bamboo juice in a new bottle
 
Hongera Kiongozi Amos Makala, hunaga baya na mtu, hunaga makundi, hunaga vinyongo na mtu. Karibu sana pande zetu za Upanga tuendeleze tizzi la kukata kitambi.
 
Bora wangekupa ww wizo 🀣🀣🀣
Sijui samia hanioniii!!!! Anaenda kuzoa mazee yaliyojichokeaa! πŸ™ˆπŸ™ˆ

wari iz thisssss!!! 😹😹😹

Natamani niwe mwenezi halafu uwe naibu mwenezi wangu.

Mawifi in da housee 😹😹😹🀣🀣🀣
 
Sijui samia hanioniii!!!! Anaenda kuzoa mazee yaliyojichokeaa! πŸ™ˆπŸ™ˆ

wari iz thisssss!!! 😹😹😹

Natamani niwe mwenezi halafu uwe naibu mwenezi wangu.

Mawifi in da housee 😹😹😹🀣🀣🀣
🀣🀣🀣🀣 Soon mama atakuona wizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…