Pre GE2025 Amos Makalla Mwenezi mpya CCM Taifa, Ally Hapi Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kizazi Cha Sasa kinataka katiba mpya, na sio sura ya mzee au kijana. Kwa bahati mbaya ccm sio chama Cha kizazi hiki, hivyo muweke kijana ama mzee, Bado wizi wa kura kwa mbeleko ya vyombo vya Dola ndio itakuwa tegemeo Lenu.
 
Makonda anapenda Sana attention
 
Ila raia.

Makonda nongwa.

Makalla nae Nongwa.

Kwani kazi ya dingi ni kufurahisha vitoto vya 2K?

Acheni bwashe ale mafao.
 
Hao watoto wa 2000 wamezoea kelele, majigambo, kutanua, vitisho, kujimwambafai bila kuangalia anayefanya hayo yote anatumia gharama kiasi gani

Kwa kuanzia tu, vijana smart wanaopenda chama chao wangefanya tathimini fupi ya gharama alizotumia Makonda kwa kipindi kifupi tu alichodumu ofisini. Halafu wangehojiana kuona kama gharama zote hizo zilikuwa ni za lazima kulinganisha na impact au kulikuwa na namna nyingine ya kufanya uenezi wake na kuokoa gharama hizo?
 
Mshamba tu wa zamani ambaye alipata fame kwa kuimbwa na band za mjini ila saivi ataongea nini na kina Jay Melody awatumie kwenye campaign..?? Obviously ni Nothing
kwan akina j melody wanachotaka si hela, atawapa hela na watakata mauno majukwaani kama mabinti wa kizaramo, subiri utaona
 
kwan akina j melody wanachotaka si hela, atawapa hela na watakata mauno majukwaani kama mabinti wa kizaramo, subiri utaona
Ona huyu mshamba, kazi watafanya sababu wanataka hela ila will they make themselves alligned na malengo ya kazi yako..?
Umaskini umewapofusha kiasi cha kwamba mnadhani kila mfanyakazi wako ana mlengo sawa na wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…