Pre GE2025 Amos Makalla Mwenezi mpya CCM Taifa, Ally Hapi Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wanalotaka chawa mama anawapatia kiufupi anaupiga mwingi sana yaani mama ana maono!
 
Hiyo nafasi inawafaa watoto wa mjini kama akina Amos Makalla!! Papa Amos mzee wa Totoz mtoto wa mujini.
 
Mzee Capt. Chiligati alifanya vizuri zaidi ya vijana ktk nafasi hiyo......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…