Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Wazee ndo wenye maamuzi nchi hii.
Na hii mbegu imepandwa kwenye familia zetu.

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafasi ya Katibu wa Uenezi na Itikadi inapaswa kuwa ya Vijana damu changa na sio wazee dizaini ya Amos Makala.
Kwa uteuzi huu sitoshangaa mama kurudi tena mezani kabla ya 2025 kusaka Mwenezi mwingine.
Waliowahi kushika hizo nafasi watu kama Nape Mnauye,Pole pole,Shaka,Makonda hao ndio size Ili walete amsha amsha.
Ingefaa kabisa Jokate angefaa zaidi kwenye hiyo nafasi badala ya bwana Makala ambae umri umesogea.
View: https://www.instagram.com/reel/C5TdwX_q5Hg/?igsh=Z2hhdDB6ODE1OTZ6
My Take
Naunga mkono hoja ya wazee wa minyama kumkataa Makala.
Namshauri Mwenyekiti awe anaziba maskini Kwa Baadhi ya ushauri,ilikuwa mapema sana kumtoa Makonda ilitakiwa wampe mda mihemko ikiisha angekuwa sawa maana wangemkanya tuu Kwa Baadhi ya mambo.
Hatuongei ushabiki ila uhalisia.Mimi nimevuka 40s sitaki kazi za VijanaSawa, utakuwa wewe au Lucas Mwashambwa
Nafasi ya Katibu wa Uenezi na Itikadi inapaswa kuwa ya Vijana damu changa na sio wazee dizaini ya Amos Makala.
Kwa uteuzi huu sitoshangaa mama kurudi tena mezani kabla ya 2025 kusaka Mwenezi mwingine.
Waliowahi kushika hizo nafasi watu kama Nape Mnauye,Pole pole,Shaka,Makonda hao ndio size Ili walete amsha amsha.
Ingefaa kabisa Jokate angefaa zaidi kwenye hiyo nafasi badala ya bwana Makala ambae umri umesogea.
View: https://www.instagram.com/reel/C5TdwX_q5Hg/?igsh=Z2hhdDB6ODE1OTZ6
My Take
Naunga mkono hoja ya wazee wa minyama kumkataa Makala.
Namshauri Mwenyekiti awe anaziba maskini Kwa Baadhi ya ushauri,ilikuwa mapema sana kumtoa Makonda ilitakiwa wampe mda mihemko ikiisha angekuwa sawa maana wangemkanya tuu Kwa Baadhi ya mambo.
Ana umjini gani huyo Babu? Umri umemkataa ,sio nafasi za kufunga tai na kuvaa suti hizoHiyo nafasi inawafaa watoto wa mjini kama akina Amos Makalla!! Papa Amos mzee wa Totoz mtoto wa mujini.
Nafasi ya Katibu wa Uenezi na Itikadi inapaswa kuwa ya Vijana damu changa na sio wazee dizaini ya Amos Makala.
Kwa uteuzi huu sitoshangaa mama kurudi tena mezani kabla ya 2025 kusaka Mwenezi mwingine.
Waliowahi kushika hizo nafasi watu kama Nape Mnauye,Pole pole,Shaka,Makonda hao ndio size Ili walete amsha amsha.
Ingefaa kabisa Jokate angefaa zaidi kwenye hiyo nafasi badala ya bwana Makala ambae umri umesogea.
View: https://www.instagram.com/reel/C5TdwX_q5Hg/?igsh=Z2hhdDB6ODE1OTZ6
My Take
Naunga mkono hoja ya wazee wa minyama kumkataa Makala.
Namshauri Mwenyekiti awe anaziba maskini Kwa Baadhi ya ushauri,ilikuwa mapema sana kumtoa Makonda ilitakiwa wampe mda mihemko ikiisha angekuwa sawa maana wangemkanya tuu Kwa Baadhi ya mambo.
Zama zimebadilikaMzee Capt. Chiligati alifanya vizuri zaidi ya vijana ktk nafasi hiyo......
utulivu ni tatizo kidogo kwa vijana bila kua na mzee pembeni ni shida kidogo....Zama zimebadilika
We wa koromije uliyekuja juzi Dar na fuso ya dagaa huwezi mjua Makalla!! Kaa utulie au rudi ukauze furu Chato.Ana umjini gani huyo Babu? Umri umemkataa ,sio nafasi za kufunga tai na kuvaa suti hizo
What about that useless Mbozi Nigger Lucas Mwashambwa! Is he in, or out!!😂😂😂
Mwijaku out