Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo Ali Happy alikuwa analima na drones? Mbona tulikuwa tunamuona anabeba kwenye mandoo machakavu na sio kutumia scavator?Tatizo uko kwenye jembe la mkono
Ally Hapi ni mfano mzuri kwa kufanya kilimo baada ya kutenguliwa ukuu wa mkoa. Ameonesha kwa vitendo kwamba siyo lazima apate cheo cha kisiasa ili aishi.Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyokutana leo tarehe 03 April, 2024 jijini Dar Es Salaam, katika kikao chake maalum, chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndg. Dkt. Samia Suluhu Hassan, pamoja na masuala mengine, Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, imefanya mabadiliko madogo ya Sekreteriet ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kwa kuwachagua wajumbe kama ifuatavyo:
Aidha katika kikao hicho, Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imezipongeza Serikali zake zote mbili, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, chini ya Rais Dkt. Hussein Mwinyi, ambaye pia ni Mwenye kiti wa Baraza la Mapinduzi, kwa kazi kubwa na nzuri ya kuendelea kutekeleza Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2020 – 2025.
- Ndugu John Mongella kuwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, akichukua nafasi ya Anamringi Macha ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa Shinyanga,
- Ndugu Amos Gabriel Makalla kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, akichukua nafasi ya Ndugu Paul Makonda ambaye ameteulia kuwa Mkuu wa Mkoa Arusha.
- Ndugu Ally Salum Hapi kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi Tanzania, akichukua nafasi ya Ndugu Gilbert Kalima ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mkinga,
- Ndugu Jokate Urban Mwegelo kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM akichukua nafasi ya Ndugu Fakii Raphael Lulandala ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro.
IMETOLEWA NA IDARA YA ITIKADI, UENEZI NA MAFUNZO 03 APRIL, 2024
Kilasiku hahahaha wanabadirishana nafasi tu, that means Chama hakuna workforce ya kutosha. Wanachama wajitathminiHalmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyokutana leo tarehe 03 April, 2024 jijini Dar Es Salaam, katika kikao chake maalum, chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndg. Dkt. Samia Suluhu Hassan, pamoja na masuala mengine, Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, imefanya mabadiliko madogo ya Sekreteriet ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kwa kuwachagua wajumbe kama ifuatavyo:
Aidha katika kikao hicho, Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imezipongeza Serikali zake zote mbili, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, chini ya Rais Dkt. Hussein Mwinyi, ambaye pia ni Mwenye kiti wa Baraza la Mapinduzi, kwa kazi kubwa na nzuri ya kuendelea kutekeleza Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2020 – 2025.
- Ndugu John Mongella kuwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, akichukua nafasi ya Anamringi Macha ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa Shinyanga,
- Ndugu Amos Gabriel Makalla kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, akichukua nafasi ya Ndugu Paul Makonda ambaye ameteulia kuwa Mkuu wa Mkoa Arusha.
- Ndugu Ally Salum Hapi kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi Tanzania, akichukua nafasi ya Ndugu Gilbert Kalima ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mkinga,
- Ndugu Jokate Urban Mwegelo kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM akichukua nafasi ya Ndugu Fakii Raphael Lulandala ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro.
IMETOLEWA NA IDARA YA ITIKADI, UENEZI NA MAFUNZO 03 APRIL, 2024
Miaka nenda rudi ni walewale tu alafu Chama kinajidai kuwa na wanachama zaidi ya mil 12. Je katika idadi yote hiyo wanaostahili kuteuliwa ni walewale tu?Mvinyo ileile kwenye chupa tofauti tofauti..., miaka nenda miaka rudi. Nadhani hii ni aidha hadi YESU akirudi AU CCM ikiondoka madarakani.
Sijakuuliza una Hela au huna nimekuuliza wewe una CHEO Gani😅😅😅Mimi nina hela zaidi yake, sina shida, na nipo nchi iliyo bora zaidi yake. Yeye aendelee na kazi, sina shida nae.
mzee ramadhan ni mtaalam wa nyota biashara mali bira kafara mausiano cheo nk 0678663769Najua upo hapa JamiiForums hivyo nitakuomba tu unijibu hili Swali langu tafadhali.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaaaaaa maisha yana siri nyingi sana. Alimbabaisha jamaa alipokiwa kwenye ziara Mwanza. Please,Amos Makalla ziara ya kwanza ya jujenga chama nenda Arusha please.
Kwann??Joketi anaenda kupotea kwenye siasa,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]lUCAS MWASHAMBWA
Duuuuuh upande wa mwenezi sijaona mtu mwenye kujipamba ccm na kuwafanya watanzania waiamini na kuweza kuipa kura tenaHappi amerudi kwenye cake ya taifa?? Km namuona kidampaa akifurahi kututambia wenzie, basha wake kapata teuzi.
Tutakomaaaa mwaka huu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
:Najua upo hapa JamiiForums hivyo nitakuomba tu unijibu hili Swali langu tafadhali.
Ndugu zangu Watanzania, mama ametusikia na ametufikia Lucas Mwashambwa, Etwege na Tlaatlaah leo sioni comments zenuPedeshee Amos [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwako Lucas pale Vwawa
Makala ana utoto wa mjini upi? Kwao Mvomero huko kijijini!W
Wawapi
Hakika maana Nchimbi mwenyewe alikuwa kama mtoto mdogo mbele ya Makonda!Lengo lilikuwa ni kupata mtu ambae hatamfunika Katibu mkuu na Mwenyekiti wake.
Ngumu kuelewaKwa hiyo Ali Happy alikuwa analima na drones? Mbona tulikuwa tunamuona anabeba kwenye mandoo machakavu na sio kutumia scavator?