Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wanapenda siasa za Hamasa kwelikweli, kwa hili Makonda aliweza ila Makala hatoweza pia Hana Mvuto wa kisiasa na ushawishi" afadhali angebaki tu Makonda" ndio sentensi inayotamba mitandaoni usiku huu
Sijajua Wana CCM walitaka ateuliwe nani? Pascal Mayalla au nani?!!!
Mlale Unono [emoji3][emoji3]
Siku pascal mayalla akiteuliwa hata kuwa DAS tuu jf italipuka... Kwani uteuzi unaosubiriwa kwa hamu ni wa pascal mayalla" afadhali angebaki tu Makonda" ndio sentensi inayotamba mitandaoni usiku huu
Sijajua Wana CCM walitaka ateuliwe nani? Pascal Mayalla au nani?!!!
Mlale Unono [emoji3][emoji3]
Hahahahaha .ni km vile kabaki yeye tuSiku pascal mayalla akiteuliwa hata kuwa DAS tuu jf italipuka... Kwani uteuzi unaosubiriwa kwa hamu ni wa pascal mayalla
Na Lucas 😄Hahahahaha .ni km vile kabaki yeye tu
Ccm ingeangalia na umri pia....Watu wanapenda siasa za Hamasa kwelikweli, kwa hili Makonda aliweza ila Makala hatoweza pia Hana Mvuto wa kisiasa na ushawishi
Yaani kiufupi Sekretarieti ya Kumsaidia Dr. Nchimbi haina Mvuto labda Ally Hapi tu
Fatilia hata uteuzi wa Makala hauna Mvuto , Hata media kubwa unakuta wamepost ila post Ina comment 2 na like 1 hii ni picha tosha kuwa wamepuyanga
Kuna Mtu kawashauri vibaya pia ni aibu maana Makala hatofika kwenye uchaguzi wa 2025 kama MweneziCcm ingeangalia na umri pia....
Hata mimi naona huko mbele watanadili tena ...Makala ni old fashion leader...Kuna Mtu kawashauri vibaya pia ni aibu maana Makala hatofika kwenye uchaguzi wa 2025 kama Mwenezi
Chadema wakitulia , CCM watafanya teuzi Tena
Sasa muenezi hujui domo ? Ingawa pia mipango ni muhimuMakala kwenye mipango yuko vyedi ila mdomoni mtupu.
Uteuzi wa Makala umedoda sanaHata mimi naona huko mbele watanadili tena ...Makala ni old fashion leader...
Idara ya uenezi ccm ilitakiwa iwe na mtu kijana creative na anayejua political science...na kwakua ccm ina vyombo vya habari kama Uhuru publisher ,uhuru fm na Channel basi mtu huyo ajue jinsi ya kuvutumia hv kujenga ushawishi hasa kwa vijana na watu wa makamo
Hamna mtu kawashauri vibaya, makonda alijikanyaga mahali japo alionywa ila hakusikiaKuna Mtu kawashauri vibaya pia ni aibu maana Makala hatofika kwenye uchaguzi wa 2025 kama Mwenezi
Chadema wakitulia , CCM watafanya teuzi Tena
Wewe wasemaMaza kachemka.
Kupotea?Joketi anaenda kupotea kwenye siasa,
katibu muenezi,mipango na propaganda.hapo anatakiwa afit angle zote.Sasa muenezi hujui domo ? Ingawa pia mipango ni muhimu
Sawa sawakatibu muenezi,mipango na propaganda.hapo anatakiwa afit angle zote.