Pre GE2025 Amos Makalla Mwenezi mpya CCM Taifa, Ally Hapi Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
" afadhali angebaki tu Makonda" ndio sentensi inayotamba mitandaoni usiku huu

Sijajua Wana CCM walitaka ateuliwe nani? Pascal Mayalla au nani?!!!

Mlale Unono [emoji3][emoji3]
Watu wanapenda siasa za Hamasa kwelikweli, kwa hili Makonda aliweza ila Makala hatoweza pia Hana Mvuto wa kisiasa na ushawishi

Yaani kiufupi Sekretarieti ya Kumsaidia Dr. Nchimbi haina Mvuto labda Ally Hapi tu

Fatilia hata uteuzi wa Makala hauna Mvuto , Hata media kubwa unakuta wamepost ila post Ina comment 2 na like 1 hii ni picha tosha kuwa wamepuyanga
 
Siku pascal mayalla akiteuliwa hata kuwa DAS tuu jf italipuka... Kwani uteuzi unaosubiriwa kwa hamu ni wa pascal mayalla
 
Watu wanapenda siasa za Hamasa kwelikweli, kwa hili Makonda aliweza ila Makala hatoweza pia Hana Mvuto wa kisiasa na ushawishi

Yaani kiufupi Sekretarieti ya Kumsaidia Dr. Nchimbi haina Mvuto labda Ally Hapi tu

Fatilia hata uteuzi wa Makala hauna Mvuto , Hata media kubwa unakuta wamepost ila post Ina comment 2 na like 1 hii ni picha tosha kuwa wamepuyanga
Ccm ingeangalia na umri pia....
 
CCM hoi vibaya mno!

Kama sio majeshi uchwara yasiyoheshimu matakwa ya wananchi hiki chama kingekuwa kimefutika zamani sana.
 
Kuna Mtu kawashauri vibaya pia ni aibu maana Makala hatofika kwenye uchaguzi wa 2025 kama Mwenezi

Chadema wakitulia , CCM watafanya teuzi Tena
Hata mimi naona huko mbele watanadili tena ...Makala ni old fashion leader...

Idara ya uenezi ccm ilitakiwa iwe na mtu kijana creative na anayejua political science...na kwakua ccm ina vyombo vya habari kama Uhuru publisher ,uhuru fm na Channel basi mtu huyo ajue jinsi ya kuvutumia hv kujenga ushawishi hasa kwa vijana na watu wa makamo
 
Uteuzi wa Makala umedoda sana
Ila Mkiti wao ajiangalie anakwama wapi ,Makala anakuwa Mwenezi wa 5 ndani ya miaka 3 ni aibu kwa kweli
Ajitathmini
 
Kuna Mtu kawashauri vibaya pia ni aibu maana Makala hatofika kwenye uchaguzi wa 2025 kama Mwenezi

Chadema wakitulia , CCM watafanya teuzi Tena
Hamna mtu kawashauri vibaya, makonda alijikanyaga mahali japo alionywa ila hakusikia
 
Hapi si angelibaki shamba tu, alime zake nyanya 🤔 mbona kama kilimo kilikua kinamjubali.
 
Back
Top Bottom