Amos Makalla: Nimezaliwa Ocean Road, Baba Polisi, Mama Polisi

Amos Makalla: Nimezaliwa Ocean Road, Baba Polisi, Mama Polisi

View attachment 2954792
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Amos Makalla amesema yeye ni Mtoto wa Mjini amezaliwa Kilwa road na wazazi wake Wote ni askari Polisi

Makalla amesema yuko tayari kwa mdahalo na Mwanasiasa yoyote Wakati wowote na pia yuko tayari kwa Siasa za maridhiano na hayuko tayari kwa Siasa za viroja

Credit: Michuzi TV

Ramadan Mubarak [emoji1]
MBONA SIONI AMSHA AMSHA YA MASHAMBWA AU BASHITE ALI.......KWA UZURI ZAIDI
 
Sasa huyu anataka mdahalo au anadhani ni Ile midahalo ya shule ya Education is better than money? Ajichanganye wampunguze uzito! Yaani huyu aweke mdahalo na Heche? Labda mdahalo ufanyikie Mloganzila na Prof. Janabi awepo na vitendea kazi ikiwemo MRI.
 
MBONA SIONI AMSHA AMSHA YA MASHAMBWA AU BASHITE ALI.......KWA UZURI ZAIDI
Mwashambwa HANA BANDO kaona arudi shamba kuamia ndege ccm imerudi mjini Kwa watoto wa mjini yaani ma born town yeye alimshabikia makoñda ni mabush star yaani timu ya akina MAPUNG'O
 
Back
Top Bottom