Hakuna anayetetea uchoko ila ukiona uchoko unatokea kwenye familia ujue ni kufeli kwa malezia mzazi hivyo mzazi ndio wakwanza kuwajibika.
Pili kuua mtoto kisa kawa choko ndio upunguani wa akili zaidi..kwanini kama hupendi na hutaki si umtimue asikanyage kwako.
#MaendeleoHayanaChama
Elewa kila kitu kina mipaka yake.
Jambo lililo nje ya familia yako Hilo halikuhusu kiwajibu na kimajukumu.
Ndio maana hata wewe huwezi kulisha majirani zako chakula kwani sio wajibu na majukumu yako.
Mkiongea vitu muwe mnatumia Akili.
Kila kitu kina cycle na mipaka Haley.
Ndio maana kuna Familia, ukoo, kabila, taifa, jumuiya za kimabara na Dunia.
Hata Rais Samia Suluhu hawezi ingilia mambo ya nchi nyingine. Ila likitokea hapa Tanzania anauwezo wa kuingilia.
Jukumu la ushoga unaotokea nje ya familia ni jukumu la Familia husika au Serikali kwani ndio ngazi inayojumuisha familia, koo na makabila mengi.
Ndio maana Serikali haiwezi kuzuia wewe kuoa mtu Fulani lakini Baba au Mama yako wanahiyo power ya kuzuia.
Lakini Familia nyingine haiwezi kuzuia wewe usioe wakati ni mambo yasiyowahusu.
Hata kama mmeamua kutetea uchafu basi ASI tumieni hata Akili kutoa hoja zenu