Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Waliowaletea hizo Dini ndio walioukubali Ushoga na wana Sherehe zao kila mwaka, shughuli za Nchi zinasimama kusheherekea uwepo wa Mashoga, lakini pia wanafungishwa hadi Ndoa,
Sasa wewe Ngumbaru ambaye hata Maji tu kupata tabu usikute hapo una siku tatu hujaoga lakini unatunukisha kwapa lako hapa kwa kubishana juu ya Ushoga
Kwa akili zako unafikiri Wazungu wote ni Wakristo au wanadini😂😂😂
Ndio maana nikasema ninyi vidada vyembamba akili zenu zikichanganywa mnakuwa wapumbavu Sana.
Ni Sawa useme waarabu wote wanaamini uislam. Wakati wapo waarabu wasio na Dini Kabisa.
Kwa Uelewa uliouonyesha ngoja nikuache maana nilidhani najadili na mtu mwenye elimu walau ya degree lakini kumbe ni Wale wenye Elimu hewa ya kukariri