Amvunja mgongo mpenzi wake akitafuta G-spot

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni kama Chai hivi ya TangawiziπŸ˜‚

Anyways,

Hivi si Kuna Wanawake huwa wanalalamika kuwa Vijana hawana nguvu za Kiume, kwamba Wazee kwa kimoja chali, Sasa kwa gwaride hilo hizo nguvu zimetoka wapi?πŸ€ͺπŸ€ͺ
Mkuu umeongea kinyume huwa wanapenda Vijana Kwakuwa damu changa inachemkaaaa yani nguvu kama zote! Wazee ndio kimoja chali
 
Mkuu umeongea kinyume huwa wanapenda Vijana Kwakuwa damu changa inachemkaaaa yani nguvu kama zote! Wazee ndio kimoja chali
Hahaha...............nguvu hadi kuvunjana mgongo?

Hapo mnakuwa hamuinjoi mapenzi Sasa kama mnavunjana na migongo πŸ˜‚
 
Hahaha...............nguvu hadi kuvunjana mgongo?

Hapo mnakuwa hamuinjoi mapenzi Sasa kama mnavunjana na migongo πŸ˜‚
Hapana sio nguvu hio ya kuvunjana mgongo aisee ukute huyo mwanaume alikua mcheza mieleka😁😁😁!!
Spinal cord ni hatari sana na muhimu sana ukipata hitilafu kidogo tu ndio unakua kilema hivo kwani inacontrol movement yote ya mwili!
 
Hayo mambo yapo kwa vijana zaidi πŸ€ͺπŸ€ͺ

Ila lengo la tendo lenyewe ilikuwa kuzaana tu. Binadamu ndiyo tumegeuza kuwa ni starehe hadi kufikia stage tunatumia Madawa artificial kuweza kwenda round nyingi au ku last longer.

Wakati ingekuwa ni kukamilisha lengo la kuzaana manake hata kama una fika mshindo baada ya dakika 1 kama ni mimba inatungwa vizuri tu πŸ™ˆπŸƒπŸƒ
 
Kwahio mkuu nawewe hutumia madawa ili uende round nyingi na u last longer???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…