An extreme coincedence? Kuanguka kwa Mbowe na kupotea kwa Johnthebaptist!

Ni kama genta, ana ID lukuki kakini flow yake ni ile ile.
 
Mbowe alisimama dede nchini wakati wenzie wanaenda kuomba political asylum..Jaribu kumpa heshima haata kidogo .
Hata Mbowe naye alisepa hadi Magu alipofyekelewa mbali ndiyo akarudi na Samia akamrukia na kumsunda ndichi miezi nane hadi alipokubali masharti ya Samia ndiyo akatemwa lupango na kuibukia Ikulu.
 
Maccm nyie ni mataahira kabisa ndiyo maana mumeacha wanaume Watanganyika wenye uwezo wa kuiongoza Tanganyika na mkaweka mwanamke toka nchi jirani ya Zanzibar aitawale Tanganyika, huu ni utaahira kabisa.
Kuna mahala Katiba inakataza Wanawake na kuwataka wanaume?

Akili zipi za nyie mnaojiita wanaume wa Tanganyika mumewahi zionesha kumzidi mnamuota Mzanzibari? Tanganyika itaongozwa na Mtanganyika ila Tanzania itaongozwa na Mtanzania wa pande yeyote bila kujalisha jinsia
 
Lakini yu HAI.
Hii ni habari njema kuwa yu "HAI".
Nilikuwa na mashaka makubwa kuhusu uhai wake. Sasa kwa kuwa yungali kwenye mapambano (uhai ni mapambano siku zote) haitamshangaza yeyote siku moja akijitokeza, baada ya hizi timbwili zilizopo sasa na kueleza mengi aliyojifunza huko aliko sasa.

Ukibahatika kuwa na njia ya kumfikishia salam zetu, mwambie mapambano ndiyo kwanza yanapamba moto.
Kamwe hatuwezi kuitelekeza Tanzania kwa hawa mashetani.
 
akaamua kupumzika kuingia JF ama anatumia ID mpya angalau aweze kuingia na kusoma michango ya watu mbalimbali
Mkuu 'Allen' hili la "kuingia JF na kusoma", halafu anajizuia kabisa kuacha neno hata moja?
Huyu atakuwa siyo 'thebaptist', atakuwa mtu mwingine kabisa!

Ukisema kaacha kabisa kuingia JF, hili linawezekana; ingwa pia ni gumu.

Chukulia mfano wa hii mada yenyewe inayomhusu yeye moja kwa moja; aingie na kusoma tu, na kuondoka bila kuacha ujumbe wowote hata kwa hizo ID nyingine..., ISINGEWEZEKANA.
Nimepitia michango mbalimbali humu kutazama 'signature' yake, siioni!
 
Sijui ameenda wapi huyu Mzee, kitambo sana.
 
Ukibahatika kuwa na njia ya kumfikishia salam zetu, mwambie mapambano ndiyo kwanza yanapamba moto.
Kamwe hatuwezi kuitelekeza Tanzania kwa hawa mashetani
.😎
 
Nimesema kwa kutumia Akaunti nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…