An extreme coincedence? Kuanguka kwa Mbowe na kupotea kwa Johnthebaptist!

Sawa... Kwa Sasa aachwe apumzike. Mungu ampe wepesi kwenye mtihani anaopitia.
Binafsi namtakia kila la kheri; na hasa matamanio yangu ni apate fursa ya kuona mabadiliko yanayokuja karibuni ndani ya taifa hili.

Hiyo itakuwa ni zawadi nzuri kwa kila mmoja wetu.
 
Binafsi namtakia kila la kheri; na hasa matamanio yangu ni apate fursa ya kuona mabadiliko yanayokuja karibuni ndani ya taifa hili.

Hiyo itakuwa ni zawadi nzuri kwa kila mmoja wetu.
šŸ’ŖšŸæšŸ™šŸæšŸ”„šŸ”„āœ”
 
ila hiki kisulisuli hakuna ambaye kimemkosa...šŸ„ŗšŸ™†šŸæā€ā™‚šŸ™‡šŸæā€ā™‚
Kuna mambo yanaacha taathira ya kudumu (Permanent effect)kwa ivo likimkuta mwenzio ni kumuombea duwah tu mwenyezi Mungu amuafu.

Tumuombee kwa Mungu aweze kuvuka salama...
 
Kuna mambo yanaacha taathira ya kudumu (Permanent effect)kwa ivo likimkuta mwenzio ni kumuombea duwah tu mwenyezi Mungu amuafu.

Tumuombee kwa Mungu aweze kuvuka salama...
Noted brother..šŸ™šŸæ
 
Kwa umri wake most likely ni changamoto za afya.. Tumuombee SanašŸ™‡šŸæā€ā™‚
Najuwa haya nitakayoandika hapa si mahala pake; huenda kuna siku kutakuwa na mjadala mahsusi juu yake mahala husika.
Haya maswala ya Imani, ni magumu sana.
Kwa mfano: hili la "Tumwombee sana"
Huyu tunayemwoba; kuna kipimo anachotumia kujuwa hii kuomba inatosha au haitoshi?

Mkuu 'Mshana Jr', sichokozi, na wala sichoknoi chochote kwenye maneno haya yanayosemwa kila mara, na siyo wewe pekee umeyatumia.

Wenye imani nusunusu kama sisi naona tupo 'doomed' hata kabla ya kufika mlangoni kwa "tumwombae".

Nimeomba toka mwanzo, tusipoteze muda na hili kwa sasa..
Najuwa, nami nikipotea wapo "watakaoomba sana" Sitapenda kuwakatisha tamaa kwa fikra hizi nilizoweka hapa.
Lakini naamini ni jambo linalojadilika mahala sahihi.
 
Mkuu yule mtu yupo humu kwa ID nyingine ila amepoa sana
 
Jamaa 29 Oktoba ilipita naye, au tuseme ndo alikua anaitwa Sharif Majini
 
Mkuu Kalamu always unani fikirisha na mabandiko yako.. Nimekupata vema kwenye hili..

Licha ya imani ya muombewa je sisi waombaji huwa tunamaanisha? Au tunatoa faraja za hila?
 
Kaka I can bet sio yeye.. Maana hajifichišŸ˜€ kuna mahali angekosea tungemjua tuuu
'johnthebaptist' hawezi kujificha.
Kama kweli tumo humu, basi jambo lililompata litakuwa limemwathiri kiasi kikubwa kumbadilisha alivyokuwa, na tulivyomfahamu'
Hilo tukio litakuwa ni la aina ya kipekee sana.
Hata la kiafya lingeacha dalili tu zilizomtambulisha yeye kama yeye na siyo mtu mwingine yeyote..

Mimi ninakubaliana na mkuu 'Allen' juu ya yeye pengine kuingia mara moja moja, na kusoma tu. Kuchangia inaweza kuwa ni changamoto kwake asiyoweza kuimudu.
 
Kama ule uandishi ni wa mzee basi kama taifa tunashida kubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…