Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

1. Mwigulu ni kweli kuna vita ya kugombea jimbo kati yako na Kitila Mkumbo?

2. Haya unayofanya huku sio kuanza kampeni kabla ya wakati, huoni unajitafutia balaa kwenye chama chako sababu nimewasikia viongozi wako wa chama wakipiga vita hii kitu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sio MSEMAJI wa KITILA NA PIA KWA SASA MIMI SIO MGOMBEA NI MBUNGE.
 
Asante sana mh. Kwa kazi nzuri uliofanya (japo watu walipotea sana kwenye uongozi wako kuliko wengine waliokutangulia) vipi nasikia ile timu yako iko kwenye mawe imekuwaje tena au ulivyotumbuliwa nayo uliitumbua
 

mkuu, watoto wa nyerere walisoma ulaya mfano makongoro kasoma chuo kikuu ulaya huko itakua wa mwigulu ? kila mtu na mipango yake ya ki familia mfano mimi nataka siku nikiwa na watoto wasome ulaya au marekani.
nadhani swali la kumuuliza huyu mtu ni kwamba wakati wa uongozi wake watanzania wengi walipotea na kuuwawa je yeye kama waziri alichukua hatua gani ? na kwanini alishindwa kuchukua hatua ?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hapa Kuna TAARIFA umezitumia sio sahihi. TAARIFA zilizopo UMASIKINI UNAPUNGUA, NDIO TAARIFA MPYA KABISA, HIZI ZA 2M people kurudi kwwnye UMASIKINI umezitoa wapi?
Humo humo bungeni mkuu , naamini hata wewe umewahi msikia Zitto akitoa hizo data , na hamjawahi kukataa kumwambia afute kauli , that means hiyo ni valid

We hizo unazosema umasikini umepungua unazitoa wapi ??

Lakini pia , ukienda jimboni kwako pale , unaona kuna dalili za umasikini kupungua ? Shughuli za kimaendeleo za mwananchi mmoja mmoja zilizokuwepo 2015 kurudi nyuma , kasi yake unaona ni ile ile leo hii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…