Dr. Mwigulu Nchemba
Minister
- Feb 25, 2012
- 419
- 2,169
- Thread starter
- #261
Kiuchumi nawahamasisha zaidi walime ALIZETI, COMPARATIVE ADVANTAGEUnajitihada gani za kuhamasisha kilimo cha korosho katika jimbo lako ili kiweze kusaidia kuinua uchumi wa wananchi wako maana Mkoa wako wananchi hasa mmoja mmoja wana hali mbaya
Sent from my iPhone using JamiiForums