Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

Mh mwigulu. Wewe ulipodumu wizara ya Mambo ya ndani he ulibuni au kujenga msingi wowote wa watu kutokushikiliwa Kama mahabusu ili Hali ushahidi hakuna, adha inayopelekea watu kuwa na status ya mahabusu zaidi ya miaka 3.

Ukiwa Kama msomi unadhani kitu gani kifanyike ili hayo yaondoke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ya UCHUMI, MWELEKEO NI MZURI, KWA MAANA YA KAMA NCHI TUNAJENGA MISINGI YA KUJITEGEMEA, HATUA HII HUWA NI NGUMU NA INAAMBATANA NQ UGUMU. MWELEKEO NI MZURI, TUTAKIRI HAYA MIAKA IJAYO

Ukiwa kama mchumi unafikiri kuna estimation time tumejiwekea kufikia hayo malengo kutokana na misingi hii tunayoijenga??.

Ukiwa kama mchumi unafikiri Watanzania wameandaliwa juu ya hilo, kwamaana ya prepared workforce kuachieve hiyo misingi na mwisho wasiku matokeo yaonekane.

Ukiwa kama mchumi unafikiri mbinu hizi zinaweza kutuchukua miaka mingapi kutoboa??
Ukiwa kama mchumi unafikiri hii ni policy walikaa watalaamu wetu waliobobea wakaitengeneza au ni akili ya mtu au kakundi kadogo.? Namaanishi mbinu hii tunayoitumia ya kujenga misingi..
 
Wewe jamaa huwa unaunga juhudi kumbe ni kama sisi tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu umepata nafasi ya kumuuliza maswali the former deputy minister of finance, internal affair minister na current MP - uliza Maswali achana kuunga mkono juhudi..

Hapa tuache UCCM, UCDM na UACT tumtwange maswali yaliyoshiba ili tumpime anafaa kweli kuwa one of our think tank au ndio maslahi binafsi??
 
Mkuu hebu jaribu kumuheshimu Mwigulu Mchemba 1.Kama Mwanafamilia wa JF
2. Kama waziri aliyepita
3.Kama mbunge
UCUF au uchadema wetu usitupelekee Kukosa uungwana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Namjibu kama mwanafamilia wa JF, sasa usinilazimishe kutoa majibu kwa namna unavyotaka wewe.....

Sasa nieleze hapo nilipomkosea heshima...
 
Kuna mtu ametupia uzi kuwa siku hizi sivai skafu, huu ni mkutano mkuu wa juzi tarehe 19/2/2020 wakati wa ziara ya mzee Mangula. Skafu nilikuwa navaa hata kabla ya kwenda Ilboru Sekondari haikuwa sare ya Uwaziri.

View attachment 1365715

Kama kuna maswali kunihusu, nitayajibu hapahapa
Pamoja na mapunguvu yote, mimi nakupongeza ulivyokuwa naibu waziri wa fedha ulifanya vizuri sana. Nadhani kama watafikiria kukurudisha barazani basi wakuweke ktk eneo hilo.
 
Kuna mtu ametupia uzi kuwa siku hizi sivai skafu, huu ni mkutano mkuu wa juzi tarehe 19/2/2020 wakati wa ziara ya mzee Mangula. Skafu nilikuwa navaa hata kabla ya kwenda Ilboru Sekondari haikuwa sare ya Uwaziri.

View attachment 1365715

Kama kuna maswali kunihusu, nitayajibu hapahapa
Karibu tena JF maana naona mukipata Uwaziri huwa hamuoni umuhimu wa mikusanyiko ya kijamii kama hii. Ni vizuri unaibuka kama sehemu ya kampeni za mwaka huu. Lakini hebu onesha kidogo uelewa wako na sasa wewe ni Dr.

Kwa nini muliojiita vijana ni kaput kwenye mafanikio ya uongozi?

Munachagulliwa kwa mbwembwe lakini munaishia kufanya mambo chini ya umri wenu. Why? Tunashindwa kuelewa kwa nini hatukomai mapema ktk makuzi yetu kisiasa. Uonavyo wewe, Munaonewa au ni kweli uwezo uko chini ya kiwango?
 
Umenikwaza!...hayo ya sadaka ungeona haya ilhali watu wanajadili matendo yake maovu!
Hivi unamjua au akiwaambia Kilugha tu mnatosheka!
Kwa hiyo nyie hata Shetani akiwaletea sadaka mnachekelea na kuzipokea....!
Nijuavyo mm..sadaka za siku hizi hazikataliwi
 
Huna taarifa hata kidogo, fuatilia upate ukweli ndio uje uandike. Kama kawaida nadhani unatamani niishi kama mbwa koko. nikuhaikikishie watafute wenye taarifa wakwambie nani aliwasaidia walipokuwa na matatizo
Mh Mwigulu nina ushuhuda wa angalau Traffic Police mmoja kuwa ulikuwa unapendwa sana na jeshi la polisi....
 
Yes, HILI NI TATIZO, HII NI HOJA YA MSINGI.

Tar 20 tulikuwa na mjadala mpana SINGIDA, TATIZO HILI LINAWEZA KUPUNGUA KWA KUWEKEZA KWENYE MODERNIZATION OF PRODUCTION PRICESS MIKOANI KWETU, ILI SHUGHULI ZA UZALISHAJI ZITOE FAIDA ZINAZOLIPA HIVYO ZITENGENEZE AJIRA. HIVYO TULIKUWA NA RCC. TULICHAKATA SANA.

BUT AJIRA NI TATIZO NA NI MAADA PANA SANA, HAINA JIBU MOJA

Its there any plan initiated by you, implemented to Iramba people and now its working and the majority of Iramba are getting something..namaanisha kwenye suala zima la kupunguza na kuondoa tatizo la ajira...
 
Mkuu umepata nafasi ya kumuuliza maswali the former deputy minister of finance, internal affair minister na current MP - uliza Maswali achana kuunga mkono juhudi..

Hapa tuache UCCM, UCDM na UACT tumtwange maswali yaliyoshiba ili tumpime anafaa kweli kuwa one of our think tank au ndio maslahi binafsi??
Mimi sina chama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu ametupia uzi kuwa siku hizi sivai skafu, huu ni mkutano mkuu wa juzi tarehe 19/2/2020 wakati wa ziara ya mzee Mangula. Skafu nilikuwa navaa hata kabla ya kwenda Ilboru Sekondari haikuwa sare ya Uwaziri.

View attachment 1365715

Kama kuna maswali kunihusu, nitayajibu hapahapa
Baada ya kusikia watu wamesema siku hizi huvai ndio ukaamua kuvaa siku ya matembezi ya Mangula si ndivyo Mh Mwigulu?
 
Bro Mwingulu nakukubali sana nikikumbuka
1. Mswada wa kupandisha ushuru bandarini 100% ukiwa naibu Waziri wa fedha
2. Mashine za EFD ukiwa naibu Waziri wa Frdha
3. Uchaguzi wa kalenga baada ya msiba wa Waziri Mgimwa
4. Uchaguzi wa Igunga bada ya Rostam kuachia jimbo
5. Ulipo shindwa kujibu swali uliloulizwa na Spaka Mama Makinda kama ngombea wa ubunge wa Afrika Mashari swali lilikua ni kwanini muungano wa Afrika Mashari ulivunjika.
 
Weka ukweli hadharani, najua mengine hukuyafanya kwa matakwa yako bali kwa shinikizo au kuwapendeza wakubwa zako, lakini yamechafua taswira yako na yatakutesa sana kwani watu wanakumbukumbu ipo siku yataathiri ndoto zaki mbeleni

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini huwa mnapenda kuomba dua ambazo haziwasaidii mkuu, acha kulialia tafuta hela

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ya UCHUMI, MWELEKEO NI MZURI, KWA MAANA YA KAMA NCHI TUNAJENGA MISINGI YA KUJITEGEMEA, HATUA HII HUWA NI NGUMU NA INAAMBATANA NQ UGUMU. MWELEKEO NI MZURI, TUTAKIRI HAYA MIAKA IJAYO
Nadhani kusema Mwelekeo ni mzuri , alafu hapo hapo useme "Tutakiri haya miaka ijayo si sahihi"

Mosi, huu Mwelekeo mzuri ulipaswa kua na viashiria ambavyo tungeviona kuanzia sasa , hatungehitaji kuitabiri hiyo miaka ijayo , ila ingeonekana kuanzia sasa , ni kama tu mkulima wa mahindi , yakifika saiz ya goti tayari unapata picha , Safari navuna au sivuni

Jambo la pili , kwa mujibu wa taarifa mbali mbali , chini ya uongozi wenu , Zaid ya watanzania mil 2 wamerud kwenye lindi la umasikini , je ..ni kitu gani mnatengeneza hapa mkuu ? Kwanini mwaona fahari Sana kusifiana badala ya kuangalia ni wapi mlipo teleza ?

Majibu yako n muhimu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom